Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,432
So, what is new exactly here? Is this a topic to be discussed? I vehemently doubt.
So, what is new exactly here? Is this a topic to be discussed? I vehemently doubt.
Kuuza kwa bei ya kutupa migodi, bandari, mashirika ya uma, viwanda etc ....kuingia mikataba na wachina ni kama ameimalizia nchi . Sasa kamfanya kikwete awe ombaomba
Samahani !hivi kulikua na umuhim wa kuandika kwa lugha hii ya kigeni kwa ajili ya kuchangia hili???acha hizo ndugu ungeeleweka zaidi kama ungetumia lugha halisi ya kiswahili.asante
Na watu wengine kupenda kuabudu lugha za kigeni kuliko lugha yako ni utumwa.
Sasa kikwete angefanyaje . Kakuta kila kimeuzwa. Hadi posta na simu. Nyumba za oysterbay. Watu walichukua hela bot EPA . Watu watamuhukumu kikwete bure. Ndio maana kaamua kuwa mzururaji
Kuuza kwa bei ya kutupa migodi, bandari, mashirika ya uma, viwanda etc ....kuingia mikataba na wachina ni kama ameimalizia nchi . Sasa kamfanya kikwete awe ombaomba
Semina elekezi ni Sawa,sikulikuwa na malengo serikali iliyojiwekea.Embu twambie lengine kwa hili hatukuafiki ndugu.Yote uliyosema ni sahihi kabisa, kasoro mwishoni. Kikwete aliingia madarakani hazina ya taifa ikiwa imenona vibaya sana. Ni kikwete ndiye alifuja hela alizoziacha Nkapa. Unakumbuka semina elekezi, n.k, n.k.?