Mkapa na ndege ya rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa na ndege ya rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mupirocin, Jul 8, 2011.

 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Habar za jioni wanajamvi, naomba kuuliza hivi ndege anayotalii nayo m.kwere si ndo alonunua Mkapa au ile ilishakuwa screper kama ilivyosemwa mwanzoni alipotoka madarakani. kama ndo hii basi Mzee Mkapa tulimuonea kusema amenunua ndege mbovu. kwani jk inamsave sana otherwise angekuwa anatumia gharama kubwa zaidi angekuwa anakodi
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  za jioni nzuri.
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mie Rais namuheshimu, simuonei .... :)
   
Loading...