Baada ya Nyerere viongozi wote waliofuatia wamekuwa WACHUMIA TUMBO TU. Ndio sababu wako tayari kushambulia wenzao kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA ili waendelee kusalia madarakani.Nyerere ndo alikuwa kiongozi wa watu, hadi maisha aliyoishi yaliakisi watu aliowaongoza. Unakuwa na makasri kila sehemu lakini asilimia kubwa ya wale unaowaongoza wanasotea mlo wa siku, and you are comfortable with that.
......bila HESLB usingewaona MABLAZAMENI NA MASISTADUU WAKILA ICE CREAM MLIMANI CITY NA CINEMAX daaahKabla ya kuanzishwa
1. LOAN BOARD ungeenda vyuo vikuu ukaona jinsi vilivyojaa watoto wa matajiri huku watoto wa maskini wakishindwa kulipa Ada
2. Kutoka Dsm hadi Mtwara/ Dsm hadi Mwnza barabara za Vumbi unachukua mpaka siku 3 njiani!
tunataka mfano wa afrikaMahmoud Ahmadinejad alikuwa Rais wa Iran ameweza hayo.
Kwa unafiki nadhani nyiye ndio mnaongoza. Huyo Nyerere mngelikuwa mnampenda mbona hamjamwinua hata mwanaye mmoja tu kuwa kiongozi?? Ati nchi nzima walilia, yaani kasoro Butiama? Mnashindwa hata kumchagua mtoto wake mmoja tu awe diwani?? Shame on yu
Mkuu hao kina Ahmednejad wao ni watawa...ukienda miji yao Mashhad na Tehran jamaa wanaishi ulimwengu mwingine kbsa kiufupi BARAZA KUU LA NCHI NI LA dini wanawaprefer ile mijitu iliyoipa mgongo dunia.....Mahmoud Ahmadinejad alikuwa Rais wa Iran ameweza hayo.
Kilichomshtua Baba wa Taifa aliyetembea nchi nzima akimfanyia kampeni Hayati Benjamin William Mkapa hadi akaukwa Urais ni uporaji wa jengo lililokuwemo Benki ya Biashara ya Taifa (NBC) lililokuwa Morogoro Road na umilki wake kuwekwa mikononi mwa First Lady. Kwa kweli Mwalimu pamoja na wazalendo tulishtuka sana.Mkapa wananchi hatujaguswa na msiba wake sababu ya ufisadi wa awamu yake... nyumba za serikali, mashirika ya uma na viwanda vya uma aliviuza bila kujali ajira za wananchi zinapotea
Sugu alichukua mkopo CRDB, Mkapa amejimilikisha nyumba ya Sea View na Masaki zote zilikuwa za serikali.Mtu kawa balozi,Mbunge,waziri, Rais wa nchi halafu unategemea kote huko atoke kapuku tu.
Sugu ana miaka 10 tu bungeni ila ana hotel itakuwa Mkapa?
Swali hilo akikujibu nitagKwani nchi ni mali ya urithi tukasema tukikupenda wewe na mwanao tumpende hata kama mpuuzi..
Wanae wenyewe hawaelewani.. jimbo moja wanashindana wao kwa wao wawili...
Rubbish.Sugu alichukua mkopo CRDB, Mkapa amejimilikisha nyumba ya Sea View na Masaki zote zilikuwa za serikali.
Sugu tunamstaafisha Oktoba. Miaka 10 inamtoshaMtu kawa balozi,Mbunge,waziri, Rais wa nchi halafu unategemea kote huko atoke kapuku tu.
Sugu ana miaka 10 tu bungeni ila ana hotel itakuwa Mkapa?
Yes amekufa ameacha rubbish zote duniani.Rubbish.
Hivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.