Mkapa na Mali alizomiliki

Mkapa na Mali alizomiliki

Status
Not open for further replies.

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,016
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Mkapa) hii ndio moja ya hotel aliomiliki, pia kuna jengo moja pale ilala limefanywa Apartments hotel na mmiliki inasemekana ni mkewe.

Rais mstaafu huyu Mungu Amrehemu, katika utawala waje kumefanyika majanga makubwa moja ni kupora mali za umma, kujibimbikilia mali na mashamba, pamoja na mauwaji makubwa January 27 2001 kisiwani Pemba

Sio vizuri kusemwa marehemu kwa mabaya yake , ila tunaweza tukayafanya yakawa mazuri, na moja kwanza kurudisha mali za umma, pia mkapa alikuwa masikini tu na haiwezi kani amiliki mali kama hizi yeye na mkewe.
Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg


 
Hivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.
 
Hivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.
Hahahaha nikionaga comments zako nafrahi sana
 
Hizo mali jumla zina thamani gani?

Na jumla ya mshahara wake kipindi cha urais ni sh ngapi?

Jumla ya pensheni yake ilikuwa ngapi?

Inawezekana haya yote ameyafanya kwa mshahara wake na benefits nyingine za yeye kuwa Rais ambavyo vipo kisheria.

Ndio, hakuna msafi ila tusihukumu bila kutafiti vya kutosha.
 
Hivi sisi watanzania hatuko vizuri kichwani , yaani mkapa mshahara wake tu miaka kumi ashindwe kujenga hiyo takataka? angekuwa na company ya 1bill USD hapo ndo ningeshangaa, yaani balozi miaka kazaa,akawa waziri ,Rais akose pesa? investment kwake ni kitu cha kawaida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom