Mkapa na bank m;dk kikwete?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa na bank m;dk kikwete??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Jul 12, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  SI haba lazima rais anaeondoka awe na kitega uchumi
  tumeona wake za marais..mama mkapa kaondoka na fursa sawa kwa wote..mama kikwete kaja na wama..si haba kujikumbusha ben kaondoka na kabank chake Bank M je Rais kikwete umejiandaa na Bank Gani??ni ushauri tu si haba na wewe ukaondoka ukiwa na kasehemu cha kukushikiza miaka iliobakia ukiacha ile ruzuku ya kila mwezi.wish dk kila la kheri for a new bank

  rgds
  mjasiriamali
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Bagamoyo Peoples Bank
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  shalom!@#
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Jul 12, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kikwete kajiingiza kwenye Mitandao ya walafi na wahujumu uchumi, huyu akitoka madarakani ndo ataumbuka kabisa, huyu anaeshindwa kuweka mgawanyo wa mabo ya familia na utawala wa nchi, mmmh sijui.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mbona mnasahau urafiki wake na Sinclair na Joseph Kahama? Kuna tetesi naye ana kafungu kule machimboni.
   
 6. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hivi JK tunamuona mjinga eeeh!!!

  Subiri utashangaa........
  Ndo maana inabidi kuandaa mtu atakayehakikisha hubugudhiwi ukimaliza sehemu yako.:pound:
   
 7. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kawekeza kwa mchimba madini toka Canada na Subash Patel ili mradi asijedhulumiwa kama alivyofanyiziwa Kighoma Malima!! Wahindi sio watu, wanakupenda pale wanapokutumia!!
   
 8. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #8
  Jul 12, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kwamba kawekeza kwenye kiwanda cha kusindika nanasi kutoka shamba lake hapo Chalinze!
   
Loading...