William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, amesema, hakuna Mtanzania anayeweza kudiriki kumzomea kwa kuwa rekodi ya utendaji wake kitaifa na kimataifa inaendelea kumlinda. Mkapa amelakiwa kwa kishindo katika ziara ya siku moja wilayani Kilolo mkoani Iringa.
mimi niko ‘busy' sana na shughuli za kimataifa baada ya kumaliza utumishi wangu serikalini," amesema Mkapa.
Mkapa amesema, baada ya kumaliza urais wake amekuwa akijihusisha na shughuli mbalimbali za kimataifa zinazomfanya awe safarini muda mwingi akishughulikia uhusiano na ushirikiano baina ya Tanzania na nchi nyingine;
CHANZO: Habari Leo
Haya ndio aliyotuachia na sasa yuko bize na shughuli za kimataifa tizama hapa chini jinsi mwananchi anavyoishi kwa shida, tizama nyumba hii ya stone age ambayo hata ni huzuni kuamini kwamba leo katika Tanzania yetu bado tuna wananchi wanaishi this way na kuna Rais wa zamani anayedai kuwa analindwa na record yake ya utendaji na sasa yuko bize na shughuli za kimtaifa,
- Ungetegemea huyu Rais angekua bize kujaribu kuwasaidia hawa wananchi hapa chini sio kuleta blah! blah! blah! blah! bize za kimataifa foolishness, hivi hao watu wa kimataifa kweli wanahitaji kushughulikiwa na mtu anayetoka kuongoza huu umasikini hapa chini?
- Bravo hapo ndugu yangu Rich kwa kwenda huko kwa wananchi wanaochezewa na uongozi uchwara na kujaribu kuwasikiliza shida zao, I mean hivi hawa wananchi wanahitaji hata ksuema anything si hii picha inajisema yenyewe kwamba wako nyuma sana kuwa wawaliwahi kuongozwa na kiongozi kama Mkapa, anayejigamba sasa kwamba eti record yake inamlinda, foolish kabisaa!
- Wakuu hii ndio hali halisi ya wananchi wengi wa piga kura, hebu jaribu just for one minute kufikiri kwamba wewe na mimi tunaweza kuishi hivi leo mwaka 2010! I mean huyo Rais anayejitapa anatakwia kushitakiwa kule the Haque kwa kukiuka haki za binadam, wewe huwezi kwua unajenga mahekalu kila kona huku wananchi wanaishi namna hii hawa kina Mkapa ni wa kufungwa jela maisha! maana the right charge hapa mbele ya sheria ni kuwa-rape au kuwabaka wananchi!
- Bravo Mkulu Rich, you have our support! wale tunaotaka maendeleo na mabadiliko ya kweli.
Respect.
FMEs!