Mkapa: Kikwete ni robot

bungeni mlitoka Jk akihutubia mkasema hamtambui kama ni Rais wenu sasa mnakwenda kufanya nini huko Ikulu wakati mnasema kaiba kura zenu? huku ni kupenda kutofikirisha ubongo

Are you ok? Au ndio porojo zenyewe?
 
Kweli wewe mama porojo yani jina lako linatosha kujua IQ yako pumba tupu
 
bungeni mlitoka Jk akihutubia mkasema hamtambui kama ni Rais wenu sasa mnakwenda kufanya nini huko Ikulu wakati mnasema kaiba kura zenu? huku ni kupenda kutofikirisha ubongo

Mama Porojo punguza porojo na ufikirishe ubongo wako kidogo. Jifunze namna demokrasia inavyofanya kazi, vinginevyo utajichanganya. CDM waliposusia hotuba ya JK bungeni ni namna ya kufikisha ujumbe kuwa hawakubaliani na mchakato wa uchaguzi - inaruhusiwa. maandamano ni namna ya kufikisha pia ujumbe au ku-raise voicec of the unheard - inaruhusiwa pia ndio maana ipo kwenye katiba. Kuna namna nyingi za ku-protest iwapo husikilizwi na si busara kuingia msituni kabla hujafanya efforts kama hizo.
 
bungeni mlitoka Jk akihutubia mkasema hamtambui kama ni Rais wenu sasa mnakwenda kufanya nini huko Ikulu wakati mnasema kaiba kura zenu? huku ni kupenda kutofikirisha ubongo
Kweli wewe ni mama porojo! Lakini punguza porojo maana mwanamke akiwa na porojo nyingi mvuto hupotea.
 
Robot lina afadhali, huu ni mdoli

Ukifahamu jinsi Robot inavyofanya kazi ni hakika aliyeleta maana amefikiri kutosha. Anayofanya Kiwete katika utawala wake ni sawa kabisa na mtambo wa robot unavyofanya kazi. Robot haiwezi kufanya chochote mpaka programmer aiset anavyotaka ifanye. Na haiwezi kufanya ziaid ya hapo. Programmer akikosea basi itamjeruhi au hata kumwua kwa vile haina akili ni kufanya kama ilivyosetiwa. Ndio maana robot nyingi zifanyazokazi for production viwandani zimefungiwa ndani ya cadge kwa tahadhari ya mwendeshaji anayekaa nje ya cadge. Yanayoendelea kufanyika nchini toka kwa Rais wetu ni sawa tu na robot.
 
bungeni mlitoka Jk akihutubia mkasema hamtambui kama ni Rais wenu sasa mnakwenda kufanya nini huko Ikulu wakati mnasema kaiba kura zenu? huku ni kupenda kutofikirisha ubongo

Porojo at its best.
 
Msimsingizie mwenzenu kuwa ni Robot na hajui kitu. Mbona anajua kuwa MIMBA ZA WANAFUNZI NI KIHEREHERE CHAO?
 
Siamin kama kweli mkapa alimwita/alimfananisha kikwete robot.
 
Mkapa, tunaomba utuambie, Kikwete ni liroboti la nani?

Kwenye moja ya barua zake za wazi, Sabodo aliandika" tunajua Nyerere aliwekwa na watanganyika, Mwinyi aliwfkwa na Nyerere, Mkapa aliwekwa na Nyerere. Nani alimuweka Jakaya Kikwete kuwa Rais wa Tanzania?"
Hadi sasa sijaiona barua yenye kutoa jibu la swali la Sabodo.

Je! Ni wachawi na waganga?
Ni CCM?
Ni Rostam Aziz?
Ni Lowasa?
Ni wana mtandao?
Ni usalama wa Taifa?
Ni jeshi?
Ni ..... maswali ni mengi...
 

huu ni ufitinishi "" nasema ushindwe tena ulegee kwa jina la yesu"" heebu siku moja njoo na constructive thread hapa si tu ya kugombanisha watu nini raha yako ???
 
Kwani walise tarehe ya maandamano? So wewe subiri uone
 
Pia alisema hajui kwa nini Tanzania ni nchi maskini.
Katika majibu ya ajabu yaliyowahi kutolewa na kiongozi mkuu wa nchi yoyote duniani, nadhani hili linaongoza na linaweza kuingia kwenye kitabu guiness. Ama kweli nomeamini kwamba.uwezo wa kikwete kufikiri no mdogo sana. Kuna wakati alimjibu mwandishi wa habari kuwa yeye siyo Mungu hawezi kuleta mvua ya kujaza maji ili umeme uzalishwe. Alikuwa anahojiwa na mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC.
 
chadema nao vigeugeu...mara hawamtambui raisi mara "tunataka kuonana na raisi kikwete" sasa chagueni...mnamtambua raisi hamumtambui?tujue moja.....

Out
 

Probably wasiojua kusoma na kuandika. Hivi ni asilimia ngapi ya watanzania wamesoma mpaka elimu ya juu?
Niliambiwa kuwa uyaone😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…