Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
kama wachezaji wa Aseno walivopigwa 8-2.
Wenger na wachezaji wake walilala na viatu,
Ni zamu ya Mkapa, Mukama, Mangula, Bulaya na wengineo kulala na viatu.
Hili jamaa jinga sana jana wakati linahitimisha kampeni eti lilisema CCM ushindi lazima, linataka kutuletea kama yale ya Zanzibar.Katika kituko ambacho ajawahi kufanyaa naamini ushindi wa leo
utamlaza xpresident mkapa kitandan na viatu na kama mkewe atakuwa
pembeni basi ajitayarishe kula vumbi la viatu leo wakati akijibiringisha usiku
kwa maumivu yatakaotokea igunga
Makamanda hoiiiiiiiiiiiii , makada oyeeeeeeeeeee
Your are out of mind,wambie mwigulu,magufuli,mukama waweke amburance iwe alert kumpeleka mkapa zahanati
Babu anagawa kwahiyo magamba yakanywe kikombe ili pressure ishuke.....mkapa alijitakia mwenyewe hii aibu ccm kwa sasa hakuna mwenye mvuto wote wameoza hata ndugu yangu Makufli kuja kwake Igunga hakuna impact yoyote na hapo ndo mwanzo wa kifo cha ccm mwaka 2015hivi babu wa loliondo bado anagawa kikombe?
kama wachezaji wa Aseno walivopigwa 8-2.
Wenger na wachezaji wake walilala na viatu,
Ni zamu ya Mkapa, Mukama, Mangula, Bulaya na wengineo kulala na viatu.
Alikua Masasi na ndege ya serikali baada ya kutoka Igunga kweye kampeni. Hisia yangu ni kwamba " he is back for something"amejitakia. Si alituambia ameacha siasa?