Hivi ni nani alimshitaki Mahalu? Na kwa kosa lipi?
Nauliza maswali haya kwa sababu wanasema kahujumu Uchumi kvipi? maana Ushahidi wake unatuchanganya.. nakumbuka wakati ananunua hizo nyumba JK alikuwa Waziri wake.. Mkapa alikuwa Rais wake...
Wakati ule JK aliwahi kutetea Uamuzi ule akiwa Waziri.. Na Leo hii mkapa anamtetea kama Shahidi kuwa yote yaliyofanyika yalikuwa na Baraka za Serekali sana najiuliza ni nani alimshita Prof Mahalu kwani.
Kama ni uhujumu uchumi basi aliyekuwa Rais wakati huo na Waziri ndiyo wenye hii Kesi unless wanampinga kwa manunuzi aliyofanaya.
Swali langu la pili ni kwamba ni Nani atamlipa Prof Mahalu akifungua Kesi ya Madai baada yaKushinda au ni yale yale ya Zombe?????
CCM bwana..
zile nyaraka mbili zenye thamani tofauti kwa jengo hilohilo zaweza kumtia hatiani. Haitoshi tu kusema mkapa anadai kila kitu kilikuwa in order, usije kuta mkapa naye yumo kwenye hilo deal.
Inashangaza na hoja yako mtoa mada ni ya msingi sana, lazima tupate jibu la ni nani aliyemshtaki huyu jamaa kama bosi wake aliekua rais amejitokeza na kusema kua alichokifanya kilikua na baraka za serikali na aliyekua waziri wa mambo ya nje ndie rais wa sasa ambaye ndie aliyekua direct next bosi wa mahalu sasa nni nani aliyemshtaki huyu jamaa au mlalamikaji alikau nani?
Nani anasema nchi hii haina sheria?
Kuna mnyukano kati ya Kiwete na Mkapa, Kikwete anatamani sana Mahalu akanyee ndoo mkapa hataki ufitini wa JK lakini cha ajabu Mkapa hajamshtukia JK kwa ufitini akamtuma aende Alumeru akachafuke lakini Mkapa hakustukia.
mkapa na jk woote wapo kwenye hilo dili, inawezekana hawahusiki mojakwamoja lakini walikuwa wanajua kinachoendelea!
Zile nyaraka mbili zenye thamani tofauti kwa jengo hilohilo zaweza kumtia hatiani. Haitoshi tu kusema Mkapa anadai kila kitu kilikuwa in order, usije kuta Mkapa naye yumo kwenye hilo deal.
Kwenye hii kesi,kama ilivo kwa ile ya akina Mramba pesambili na Yona kuna kujikanganya kwingi mno! Serikali inashtaki watu kisha hiyohiyo inawatetea,acha tumsubirie jk mwenyewe atasemaje naamini atatoa ushahidi wake
Mkuu ebu tufahamishe kuhusu nyaraka2 wengine hatujuwi kitu
Hivi ni nani alimshitaki Mahalu? Na kwa kosa lipi?
Nauliza maswali haya kwa sababu wanasema kahujumu Uchumi kvipi? maana Ushahidi wake unatuchanganya.. nakumbuka wakati ananunua hizo nyumba JK alikuwa Waziri wake.. Mkapa alikuwa Rais wake...
Wakati ule JK aliwahi kutetea Uamuzi ule akiwa Waziri.. Na Leo hii mkapa anamtetea kama Shahidi kuwa yote yaliyofanyika yalikuwa na Baraka za Serekali sana najiuliza ni nani alimshita Prof Mahalu kwani.
Kama ni uhujumu uchumi basi aliyekuwa Rais wakati huo na Waziri ndiyo wenye hii Kesi unless wanampinga kwa manunuzi aliyofanaya.
Swali langu la pili ni kwamba ni Nani atamlipa Prof Mahalu akifungua Kesi ya Madai baada yaKushinda au ni yale yale ya Zombe?????
CCM bwana..
Mkapa anamtetea sana mahalu kuwa ni mwamiinifu na anamjua toka akiwa waziri. Anasema si mawasiliano yote yalifanywa kwa maandishi na kuwa baadhi yalikuwa kwa mdomo
Zile nyaraka mbili zenye thamani tofauti kwa jengo hilohilo zaweza kumtia hatiani. Haitoshi tu kusema Mkapa anadai kila kitu kilikuwa in order, usije kuta Mkapa naye yumo kwenye hilo deal.