Asisahau kuwauliza kwa nini wanajenga barabara mbovu zinazohatarisha maisha ya watu kama hizi:
View attachment 251680
View attachment 251681
View attachment 251682
Kiongozi ajari ni ajri tu hata mwezi juzi waziri mmoja Afrika ya Kusini alifariki kwa ajari, je ni miundombinu ilisababisha? swala la ajari ni la mtambuka, kila mtu anatakiwa kushiriki kudhibiti ajali.
Mkuu, Huwezi kuthibiti ajali unapotengeneza barabara zenye mashimo ya mifereji katikati au pembeni mwa barabara bila kuacha nafasi kubwa. Hapo hapo hamna taa za kusaidia kuziepuka usiku.
Huu ndiyo uhandisi uliotumia "safety factors"?
Nina uhakika kuwa ramani za hizi barabara haziwezi kupitishwa katika nchi zinazojali usalama wa wananchi barabarani.
Nina uhakika pia, kama Polisi wa barabarani wanaweka rekodi, utakuta magari mengi yanatumbukia katika mashimo kuliko katika barabara zilizojengwa bila ya hayo mashimo.
vipi walijadili pia kuhusu nyumba za umma walizogawana kama njugu?
maana nikifikiria combination ya mkapa na magufuli naziona nyumba zetu zikigawanwa kana njugu.
vipi walijadili pia kuhusu nyumba za umma walizogawana kama njugu?
maana nikifikiria combination ya mkapa na magufuli naziona nyumba zetu zikigawanwa kana njugu.
Ndugu hivi umeisoma vizuri road geometry manual tunayotumia? Kama huna nijubu nikupe pia angalia uwiano wa urban roads na trunk & regional roads!
Hamna road geometry manual wala upuuzi wowote utakayonishawishi barabara hizi ni salama.
Nimefanya kazi na kusafiri nchi nyingi sana duniani, sijakurupuka.
Najua naongelea nini, ila una haki ya kuamini upendavyo.
Kama hii barabara kwako ni nzuri na ya usalama, hongera sana wasomi wetu.
View attachment 251802
View attachment 251803
vipi walijadili pia kuhusu nyumba za umma walizogawana kama njugu?
maana nikifikiria combination ya mkapa na magufuli naziona nyumba zetu zikigawanwa kana njugu.
Hamna road geometry manual wala upuuzi wowote utakayonishawishi barabara hizi ni salama.
Nimefanya kazi na kusafiri nchi nyingi sana duniani, sijakurupuka.
Najua naongelea nini, ila una haki ya kuamini upendavyo.
Kama hii barabara kwako ni nzuri na ya usalama, hongera sana wasomi wetu.
View attachment 251802
View attachment 251803
Asisahau kuwauliza kwa nini wanajenga barabara mbovu zinazohatarisha maisha ya watu kama hizi:
View attachment 251680
View attachment 251681
View attachment 251682
Wewe unashawishiwa na nini? Kubahatika kwenda Uganda na Kenya ndo unaona umesafiri sana?
Unaendesha gari baada ya kupiga bange na pombe afu unakuja hapa kusingizia barabara??? Blakblaskut we!
Wewe ni juha.
Kuja na ID tofauti haufichi ujuha wako.
Punk Ass MoFo!
Tatizo lako ni elimu duni. Ubongo umejaa nazi.
Badala ya kupanga hoja, unaropoka kama mlevi wa gongo!
Jipange tena, Mofo!
Bilashaka wewe utakuwa mtoto wa high-school..Eti "Punk Ass" "Mofo"...umenikumbusha mbali sana..btw..matusiyako MAZITOO na yanauma **crying**
Njoo na majibu ya kihuni kama mlevi wa gongo, nakupa za uso.
Utanifahamu tu bila ya kubahatisha!
Keep talking, someday you'll say something intelligent!