William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Mzee Es said:Ni uamuzi wa wananchi kuamua kama ni sawa kwa rais wao wa zamani, kujenga Mansion Lushoto, kujenga upya ile mansion Sea View, Mansion Mpya kule Msasani, na kununua mansion South Africa kwa kipindi cha mwaka mmoja tu, alio-retire!
Mungu amrehemu Mwalimu Julius Kambaraga Nyerere, kwani huyu alikuwa ni a TRUE LEADER NA MKOMBOZI WA WANANCHI!
Aluta Contunua, na Stay Tuned................Tunaendelea!