Mkanye mwanao

Mkanye mwanao

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
685
Reaction score
1,779
Mzazi wako amekushindwa
Mwenyekiti wa mtaa amekushindwa
Polisi wamekushindwa

Umeletwa magereza na sisi tukikushindwa utaenda wapi?kwetu sisi utanyooka kote huko umeshindikana ndio ukaletwa kwetu

Unajua kwann askari magereza anaitwa BABA na ukiongea nae lazima ukunje goti.

MKANYE MWANAO
FB_IMG_16265456261855429.jpg
 
Nenda kamzingue ndo utajua ni kitu gani
Kumpiga mwanadamu na hilo gongo ni kumtesa, ilitakiwa kiwe kitu simple kimwonekano ila hatari kikikupiga.

Kubeba hilo dude ni ujinga tu, kwanza ni zito hata yeye mtumiaji atalazimika kutumia nguvu nyingi kupigia, fikiria akikutana na watu 50 atawahi sana kuchoka, mwishowe atapigwa yeye.

Walitakiwa wawe na rungu za mpingo zenye kipenyo kidogo au zenye mchanganyiko wa mpira.

Hilo dude ni kutisha watu na ujinga tu, hakuna ufanisi hapo.

Sent from my TECNO KITOCHI using JamiiForums mobile app
 
Fanya kosa nenda jela mpo 100 lkn nyote mnapiga magoti na kulala akitokea
 
Kumpiga mwanadamu na hilo gongo ni kumtesa, ilitakiwa kiwe kitu simple kimwonekano ila hatari kikikupiga.

Kubeba hilo dude ni ujinga tu, kwanza ni zito hata yeye mtumiaji atalazimika kutumia nguvu nyingi kupigia, fikiria akikutana na watu 50 atawahi sana kuchoka, mwishowe atapigwa yeye.

Walitakiwa wawe na rungu za mpingo zenye kipenyo kidogo au zenye mchanganyiko wa mpira.

Hilo dude ni kutisha watu na ujinga tu, hakuna ufanisi hapo.

Sent from my TECNO KITOCHI using JamiiForums mobile app
Risasi n ndogo lakini inaua tofauti na hilo gongo
 
Hahaha rungu zaidi ya kipepe
Aise askari hyo anakuwaga full
Equiped 😂😂😂

Ova
 
Back
Top Bottom