Pichani,
Jamaa mwenye nguo nyeupe π€ anadai kuambiwa na MUNGU kuwa
anywe pombe lakini
asioe.
Vilevile jamaa mwenye nguo nyeusi π€ nae anadai kuambiwa na MUNGU kuwa
asinywe pombe lakini
aoe wanawake wengi.
View attachment 2838312
Je ni Upande hupi ni Sahihi, π€ au π€?