Mkanganyiko kuhusu reli ya kati

garikicah

Member
Oct 29, 2010
71
18
Wadau tafadhali tuwekane sawa kuhusu ujenzi hii reli ya kati km 1216, nimeona news kuwa serikali imetenga tilioni moja bajeti ijayo ya kuanza ujenzi wa reli, pia mchina ka pledge kuwa bega kwa bega kuhakikisha anasaidia ujenzi huu, refer 'michuzi blog' lakini awali tuliambiwa Rothschild yuko willing kutoa fedha, then waziri mpango akasema we will take years ku fund hii project sisi wenyewe. Mbona tunachanganyana? Wadau naomba mchango wenu please.
 
Hapa naona tushapigwa tena tayari,nakumbuka siku kadhaa kabla ya uchaguzi 2015 Sitta alienda maeneo ya pwani kuzindua ujenzi wa reli hiyo ya standard gauge,kumbe ilikua ni kiini macho,leo tena naona wachina wamekuja.Hii nchi hii balaa,Uwongo uwongo tuu
 
Kujenga SGR? Na matrailer ya wazee mnataka kuyapeleka wapi?
 
Hapa naona tushapigwa tena tayari,nakumbuka siku kadhaa kabla ya uchaguzi 2015 Sitta alienda maeneo ya pwani kuzindua ujenzi wa reli hiyo ya standard gauge,kumbe ilikua ni kiini macho,leo tena naona wachina wamekuja.Hii nchi hii balaa,Uwongo uwongo tuu
Hata ujenzi wa bomba la gesi toka Mtwara mlisambaza propaganda hizo hizo na mmekwama. Daraja la Nyerere mlisambaza uzushi kibao na.mkaumbuka
 
Ukisikia Rothschild kabeba deal basi ujue mjenzi yeyote atakayejisogeza ujue ni part ya huyo Rothschild Family hiyo ina akili zaidi... walichoshindwa ni kuimiliki Russia pekee japo wanampango ambao hauishi its a matter of time tu...

Ila Ni Ujinga kuendelea na Locomotive train hadi umri huu wa miaka zaidi ya 50 waweke ya Umeme mambo ya kusafiri zaidi ya siku nzima ni kama uzembe wa kupoteza nguvu kazi kwani ya umeme ni kiasi gani na hilo gari moshi ni kiasi gani bora kuminya minya bajeti zingine za ajabu kama mwenge waongezee kiwekwe kitu cha ukweli ambacho hakitashangaza kama barabara panuzi ya Morocco Mwenge... sijapata ona vituko kama kile
 
Wadau tafadhali tuwekane sawa kuhusu ujenzi hii reli ya kati km 1216, nimeona news kuwa serikali imetenga tilioni moja bajeti ijayo ya kuanza ujenzi wa reli, pia mchina ka pledge kuwa bega kwa bega kuhakikisha anasaidia ujenzi huu, refer 'michuzi blog' lakini awali tuliambiwa Rothschild yuko willing kutoa fedha, then waziri mpango akasema we will take years ku fund hii project sisi wenyewe. Mbona tunachanganyana? Wadau naomba mchango wenu please.
Nina hakika hii uliyoandika tilioni ni typo na ulikuwa unamaanisha trilion. Ni kitu kidogo lakini kimenivutia kwa sababu nimeshasikia vijana wengi wanapokuwa wanabishana kijiweni huwa wanatamka tilioni bila kujua wanafanya makosa. Halafu mashabiki wa mpira nao kuna wanaosema kocha inabidi abadili ''information'' badala ya ''formation''. Utasikia ''kocha badili information''.
 
Ukisikia Rothschild kabeba deal basi ujue mjenzi yeyote atakayejisogeza ujue ni part ya huyo Rothschild Family hiyo ina akili zaidi... walichoshindwa ni kuimiliki Russia pekee japo wanampango ambao hauishi its a matter of time tu...

Ila Ni Ujinga kuendelea na Locomotive train hadi umri huu wa miaka zaidi ya 50 waweke ya Umeme mambo ya kusafiri zaidi ya siku nzima ni kama uzembe wa kupoteza nguvu kazi kwani ya umeme ni kiasi gani na hilo gari moshi ni kiasi gani bora kuminya minya bajeti zingine za ajabu kama mwenge waongezee kiwekwe kitu cha ukweli ambacho hakitashangaza kama barabara panuzi ya Morocco Mwenge... sijapata ona vituko kama kile
Sometime wanasema wanataka jenga mpya kumbe wanakarabati tu, but pia wanatoa habari Za kukanganya sana. Serikali ingekuwa inafuta kauli ya awali then watoe maelezo mapya. I'm sure prof mbarawa akija atatoa maelezo tofauti pia.
 
Ukisikia Rothschild kabeba deal basi ujue mjenzi yeyote atakayejisogeza ujue ni part ya huyo Rothschild Family hiyo ina akili zaidi... walichoshindwa ni kuimiliki Russia pekee japo wanampango ambao hauishi its a matter of time tu...

Ila Ni Ujinga kuendelea na Locomotive train hadi umri huu wa miaka zaidi ya 50 waweke ya Umeme mambo ya kusafiri zaidi ya siku nzima ni kama uzembe wa kupoteza nguvu kazi kwani ya umeme ni kiasi gani na hilo gari moshi ni kiasi gani bora kuminya minya bajeti zingine za ajabu kama mwenge waongezee kiwekwe kitu cha ukweli ambacho hakitashangaza kama barabara panuzi ya Morocco Mwenge... sijapata ona vituko kama kile
Mkuu Rothschild ndugu yao yupo Russia.Kuhusu electric powered train na huu umeme wamgao si utalala porini.
 
I know kususu Russia wapo ila Walishindwa kushika Madaraka kwa Watu waliowataka wao....

Bullet Train haitoweza kulala Njiani sababu inaweza ikaandaliwa umeme wake wenyewe wa ziada kama Kiwanda cha Tifa Dangote kula Mtwara...
 
Nina hakika hii uliyoandika tilioni ni typo na ulikuwa unamaanisha trilion. Ni kitu kidogo lakini kimenivutia kwa sababu nimeshasikia vijana wengi wanapokuwa wanabishana kijiweni huwa wanatamka tilioni bila kujua wanafanya makosa. Halafu mashabiki wa mpira nao kuna wanaosema kocha inabidi abadili ''information'' badala ya ''formation''. Utasikia ''kocha badili information''.

Kwenye mpira pia kuna misemo kama,
-ball position badala ya ball possession, na
-bigi foo badala ya top four.
 
Back
Top Bottom