garikicah
Member
- Oct 29, 2010
- 71
- 18
Wadau tafadhali tuwekane sawa kuhusu ujenzi hii reli ya kati km 1216, nimeona news kuwa serikali imetenga tilioni moja bajeti ijayo ya kuanza ujenzi wa reli, pia mchina ka pledge kuwa bega kwa bega kuhakikisha anasaidia ujenzi huu, refer 'michuzi blog' lakini awali tuliambiwa Rothschild yuko willing kutoa fedha, then waziri mpango akasema we will take years ku fund hii project sisi wenyewe. Mbona tunachanganyana? Wadau naomba mchango wenu please.