NYASI-MSESE
Member
- Jun 16, 2015
- 31
- 59
Hawa viongozi viwavi jeshi hawana utani na kodi za Watanzania..... Ila ipo siku!!Washaukomba mradi
Muanzilishi wa mradi mbona alikuwa na muelekeo mzuri tu! Mbona hakuwahi kulia kuomba pesa!Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma kutafuta ufadhili wa mradi huo kote Ulaya.
Makamu Mwenyekiti wa Yapi Merkezi, Erdem Arioglu, ambaye hivi karibuni alimuongoza Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba na ujumbe wa Serikali katika nchi za Hispania, Sweden na Poland kutafuta ufadhili wa mradi huo, aliliambia gazeti la The EastAfrican kuwa harakati za kuchangisha fedha hizo ni ufuatiliaji wa ahadi mbalimbali zinazofikia dola bilioni 2.2. kuelekea mradi wa dola bilioni 10.4.
Alikanusha kuwa Yapi iliongoza misheni hiyo walipochunguza Mpango B - ufadhili mbadala ili kushughulikia matatizo yake yenyewe ya mtiririko wa pesa - lakini walifanya hivyo katika nafasi zao kama mkandarasi mkuu kwa awamu nne za kwanza za mradi.
Source: THE EASTAFRICAN
Turkey contractor confirms $1.8bn gap in funding Tanzania SGR
Alaaniwe jjiweHaya yanafanyika katika nchi ambayo maji na umeme bado si vitu vya uhakika kwa qananchi!! Mradi wa doll Billion 10 utarejesha faida lini?
Sure mradi ulikuwa unaenda vizuri sana, nadhani kuna watu wenye personal interest wanahujumu huu mradi ambayo ni game changer kwenye transportation industry.Muanzilishi wa mradi mbona alikuwa na muelekeo mzuri tu! Mbona hakuwahi kulia kuomba pesa!
Jamani Tanzania shamba la babu! Wizi wizi tu! Waziri wa fedha hautoshi hapo mahali !!
hii nchi inahitaji kukombolewa tena kutoka kwenye mikono ya walarushwa.Washaukomba mradi
Bila shaka mkuu, kuna wapumbavu wengi CCM wasiopenda maendeleo ya nchi hiiNilishasema wahuni wa ccm hawana mpango na hii miradi mikubwa hususani huu wa sgr mana utaenda kuua tenda zao za usafirishaji wa mizigo kupitia malori yao na bisahara zao za mafuta.
Ile siku JPM kafariki ndio siku taifa lilipoteza pakubwa.
Definitelhii nchi inahitaji kukombolewa tena kutoka kwenye mikono ya walarushwa.
Kwa lipi?Alaaniwe jjiwe
Mkandarasi wa mchongo kutoka Kwa Mzirankende 🤣🤣Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma kutafuta ufadhili wa mradi huo kote Ulaya.
Makamu Mwenyekiti wa Yapi Merkezi, Erdem Arioglu, ambaye hivi karibuni alimuongoza Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba na ujumbe wa Serikali katika nchi za Hispania, Sweden na Poland kutafuta ufadhili wa mradi huo, aliliambia gazeti la The EastAfrican kuwa harakati za kuchangisha fedha hizo ni ufuatiliaji wa ahadi mbalimbali zinazofikia dola bilioni 2.2. kuelekea mradi wa dola bilioni 10.4.
Alikanusha kuwa Yapi iliongoza misheni hiyo walipochunguza Mpango B - ufadhili mbadala ili kushughulikia matatizo yake yenyewe ya mtiririko wa pesa - lakini walifanya hivyo katika nafasi zao kama mkandarasi mkuu kwa awamu nne za kwanza za mradi.
Source: THE EASTAFRICAN
Turkey contractor confirms $1.8bn gap in funding Tanzania SGR
Hii inahusikaje na mkandarasi wa mchongo kufilisika?Mnapoona pale juu mnaona kuna mtu pale?
Shida sio miradi Mingi shida ni kutafuta wakandarasi njaa wa mchongo Kwa 10% matokeo yake ndio haya.Watu waliuliza Kwa nini tunafanya miradi mingi mikubwa kwa pamoja wakaitwa vibaraka wa mabeberu na wengine kama kina Lissu wakaambulia kupigwa risasi.
Hela tulizokuwa tunaambiwa zipo Kwa ajili ya hii miradi zimekwenda wapi?