Mkandarasi huyu ni mchina au mbongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkandarasi huyu ni mchina au mbongo?

Discussion in 'Jamii Photos' started by tz1, May 8, 2012.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  mka.jpg

  Hii imekaaje?(mjengwa blog)
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  hapo hakuna kosa bana.....nia na dhumuni la mkandarasi ilikuwa akimaliza avunje kidogo ili pakawe sawa.....na kazi iwe rahisi.....we kama si mkandandarasi huwezi elewa.......
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,397
  Likes Received: 1,136
  Trophy Points: 280
  hizo ni ngazi au urembo?...mbona kama sioni mantiki
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,314
  Likes Received: 5,032
  Trophy Points: 280
  Preta, Avunje nini sasa hapo, we huoni kuwa ngazi inayotokea chini imeungana sawsawa na inayoelekea juu, hata kama kuvunjwa inavunjwa kwa asilimia ngapi ili hiyo ngazi iweze kutumika kwa ufanisi na isewe na shida
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,278
  Likes Received: 14,518
  Trophy Points: 280
  shule za kata hao huwa hawafikiriagi wao kazi twende
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,314
  Likes Received: 5,032
  Trophy Points: 280
  Mkuu tatizo lipo kwenye hizo ngazi, zimeungana na hazimpi mpandaji uwezo wa kupanda kutoka chini kwenda juu
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,350
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  kichwa kilipata moto mahesabu yakagoma.
   
 8. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
 9. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  hilo nalo neno.
   
 10. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Yuko sawa tu, kubomoa ni rahisi kuliko kujenga. Atabomoa kidogo!
   
 11. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,290
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  hiyo ni fire escape stairs! Ukifika usawa wa hilo duara, wajirusha!
   
 12. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,904
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Hii picha ilikuwa humu JF miaka minne iliyopita!!!!
  Wageni karibuni.
   
 13. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Emergency exit!!!!
   
 14. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,576
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Hata barabara kuna zingine zina "dead end". Na hizo ngazi ni dead end. Labda huko juu walitaka kumpangisha Osama.
   
 15. fakenology

  fakenology JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 763
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  kama ungeeleza ni wapi na eneo gani nadhani ungepata majibu kirahsi ni nani muhusika.
  kwa kuficha ni mahali gani mi nahsi inaweza ikawa sehemu nyingine. labda india
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,617
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  huyo lazima atakuwa mbongo. Wachina wapo makini sana katika kazi zao sio wazembe na wenye tamaa kama hawa makandarasi wetu.
   
 17. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkandarasi hajakosea, hiyo ni nyumba ya nyoka wa kibisa.
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Hii ililetwa JF miaka mitatu nyuma (kama sio zaidi), jengo lipo Mwanza na hiyo ilikuwa niurembo wa nje ya jengo. Mchoro na ujenzi huo ulidhamiria kila aonae ajiulize kama tufanyavyo. Ni ubunifu na sanaa (art work).
   
 19. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Ma Eng wa CoeT hao!!
   
Loading...