KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,104
- 5,035
TupooooHongereni sana kwa hiki kipindi
Waandaaji na Washiriki..
Mi nimekipenda
Tulizoea kuona mashindano ya hivi kwa nchi za nje tu.
...
Maoni;
1.ile meza ya kuonjea iwe kubwa zaidi
Ili Maybe kila chef judge apate plate yake for tasting kwa nafasi
2.Na serving dishes standard iwe plates kubwa zaidi walau kuboresha appearance ya chakula mtu aki'serve...(white or black colored chakula ki'stand out baada ya ku'garnish)...nmeona leo tu lakini.,ukute mna utaratibu wenu sijui
Mi pia napenda sana kupika,kuserve na kupamba chakula na ku'set mezani
Sijasomea.,ni hobby yangu tu
InshaAllah ntajaribu kushiriki siku moja
mmekiona hiki kipindi wadau?
ungeenda ungepika nini.?
mnaopenda kupika mpo humu kweli?.
Hongereni sana kwa hiki kipindi
Waandaaji na Washiriki..
Mi nimekipenda
Tulizoea kuona mashindano ya hivi kwa nchi za nje tu.
...
Maoni;
1. Ile meza ya kuonjea iwe kubwa zaidi
Ili Maybe kila chef judge apate plate yake for tasting kwa nafasi
2. Na serving dishes standard iwe plates kubwa zaidi walau kuboresha appearance ya chakula mtu aki'serve...(white or black colored chakula ki'stand out baada ya ku'garnish)... nimeona leo tu lakini, ukute mna utaratibu wenu sijui.
Mi pia napenda sana kupika,kuserve na kupamba chakula na ku'set mezani
Sijasomea, ni hobby yangu tu
InshaAllah ntajaribu kushiriki siku moja
Mmekiona hiki kipindi wadau?
Ungeenda ungepika nini.?
mnaopenda kupika mpo humu kweli?.
Ukitaka afya njema tumia vyakula vya asili sio hivi vinavyopikwa kwa mbwembweHongereni sana kwa hiki kipindi
Waandaaji na Washiriki..
Mi nimekipenda
Tulizoea kuona mashindano ya hivi kwa nchi za nje tu.
...
Maoni;
1. Ile meza ya kuonjea iwe kubwa zaidi
Ili Maybe kila chef judge apate plate yake for tasting kwa nafasi
2. Na serving dishes standard iwe plates kubwa zaidi walau kuboresha appearance ya chakula mtu aki'serve...(white or black colored chakula ki'stand out baada ya ku'garnish)... nimeona leo tu lakini, ukute mna utaratibu wenu sijui.
Mi pia napenda sana kupika,kuserve na kupamba chakula na ku'set mezani
Sijasomea, ni hobby yangu tu
InshaAllah ntajaribu kushiriki siku moja
Mmekiona hiki kipindi wadau?
Ungeenda ungepika nini.?
mnaopenda kupika mpo humu kweli?.
Kuna suala l ladha na cooking methods tuUkitaka afya njema tumia vyakula vya asili sio hivi vinavyopikwa kwa mbwembwe
Na mboga gani lolNgependa kupika Ugali.
Hapana sijaendaVipi mkuu ulifanikiwa kushiriki?
Ugalj tu labda na kachumbariNa mboga gani lol