Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

Hawa nao wanahangaika kama wanataka kutaga kila siku vioja haviishi.
 
Hizi stupid threads are propagated by weakest and USELESS team Membe...Nowhere close and u will never ever on Earth and Heaven be able to compare LOWASSA vs Membe...never...!!!

Lowassa is the next PRESIDENT...with full of personal abilities, capabilities, leadership and political know-how, heartly truth leader, listener, result oriented leader,
prudence, na sio MUONGO NA MSWAHILI....

Tatizo team membe hawana strategies kabisa....THEIR ONLY STRATEGY is ATTACKS to Lowassa....!!!! Tht is really bullshit....sbb ni moja kubwa....SBB MEMBE hakubaliki hata kidogo...so hauziki...kilichobaki anafanya kurusha mawe kwa EL. akifikiri anamwangusha....tht is poorest tactic...!!! EL is just around the Ikulu entrance...!!!

Umeandika kama vile umeelekezewa mtutu usoni kuwa utoe mapovu yoote ulonayo.
 
JK japokuwa alikuwa anautamani uraisi lakini alijipanga kimyakimya ila huyu swahiba wake sijui amehisi labda hauziki au vipi maana promo imezidi aisee kiasi kwamba hata yule aliekuwa anampenda anafikiria kumwekea kura ya hapana
 
Mimi nilidhani alikuwa anatumia haki yake ya kikatiba ya kutaka kuchaguliwa kuwa raisi wa awamu ya tano lakini nasitushwa na nguvu anayotumia ndicho kitakochonifanya nimuombe Mungu kwa nguvu zangu zote huyu mumiani asipitishwe na chama chake anataka kuchukua nchi kwa niaba ya Rostam na majambazi wengine wa kisiasa na kiuchumi
 
Mkishampa nchi marafiki zake wanapewa madaraka kuanzia ukuu wa wilaya,ukuu wa mkoa,ubunge viti maalum,ubalozi na nk.....

Kwani hawa marafiki wa EL ndio kitu gani? Ni taasisi mfuko au nini hasa?
Ulianzishwa lini na kwa malengo gani?
 
Kwa sasa team Lowassa haisumbuliwi tena na watu aina ya Membe walipofikia wanamudu kazi yao ya kuhakikisha Mtu wao anashinda kwa kishindo cha sunammi ndani na nje ya chama

Imebainika kutoka kwa wasiri wa ndani ya team Lowassa kuwa hata hao akina MWIGULU CHEMBA na LAZARO NYALANDU hao vijana waaminifu kupita maelezo kwa Mh.EDWARD NGOYAI LOWASSA.

Usishangae kuwaona vijana hao ni kama kila mtu yuko lwake na hana habari na EDDO,Kumbe ni damu damu na mzee wa MAAMUZI MAGUMU.

Dakika,masaa,siku na miezi inayoyoma kuelekea uchaguzi wa ndani CCM utajaona wengi wakisema "KUANZIA LEO MIMI NAMUUNGA MKONO MH.SAANA EDWARD N.LOWASSA.Hio itafanyika dakika za mwisho kabla siku za uchaguzi huo kufanyika ndani ya chama tawala.

MOSI,
Lengo ni kuvunja nguvu za Mkuu wa Kaya asiweze kupindisha maamuzi na kuteua mtu mwingine.

MBILI,
Imekusudiwa kutokea wakati huo ili kama kuna masalio ya WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO wajichokee na kukata tamaa zaidi hasa kwa kuona ushawishi,nguvu na uungwaji mkono wa LAIGWANAN haviwezi kuzuiliwa na awaye yote iwe kwa UTEUZI ama UCHAGUZI ndani NEC CCM.

Sio hivyo tu hata baada ya uchaguzi mkuu ujao inaonyesha LAIGWANAN amejipanga vizuri zaidi kuliko KADA awaye yote wa CCM.Nimedokezwa yuko tayari kufanya kaxi na watu makini,wachapa kazi wasiocheka na Nyani huku shamba la Mahindi linaisha na kubakiwa na Mabua matupu.

Mipango ya inavuka mipaka ya vyama na kuweka mbele maslahi ya TAIFA letu.Huyu mtu niJASIRI SANA, alisikika mmoja wa wana TEAM LOWASSA akisema.

Msije mkashangaa hata hao watu wazuri walioko UPINZANI NAO WAKAWEKWA kwenye baadhi ya Nafasi za Uongozi ili kujenga TAIFA hili kwenye Ustawi wa

KIUCHUMI
KIAFYA
KIELIMU
Akilenga kila MWANANCHI lazima afaidi ama ale mema ya Nchi yake mwenyewe.

Tumeshuhudia wabunge MIA NA HAMSINI (150)CCM, Waliojitokeza wazi wazi bila kificho na kusema KWA RAIS AJAYE LOWASSA NDIYO CHAGUO SAHIHI NA HALALI ndani na nje ya CCM.

Hayo mliyoyaona kama ni Mvua basi hio ni manyunyu/rasharasha tu,Sunammi inakuja Vigogo wengi kila Wizara na Idara wanamuunga mkono LOWASSA.

HAKUNA SIKU HATA MOJA LAIGWAN E.N.LOWASSA ATAKWAMISHWA,AMEJIPANGA IPASAVYO.

Hapo nimewapa kionjo tu.

NGOMA INOGILE.
jamani mashetani wanamajaribu acha tu,huyu lowasa si ndiye yule fisadi wa richmond.
 
Dedikesheni toka kwa Juma Nature... Hili Gemu......

Nimesikia baba naniliu wa pale magogoni anamhaha sana Laigwanani eti amejipanga kukata jina lake kwa CC ili aiswepo kwenye kinyang'anyiro cha mchakato na badala yake wameweka ma reserve kadha wa kadha ili kupeperusha bendera ya CCM kwa mwaka huu katika mchakato wa mgombea Uraisi majina kama ya C.M Nyerere yamewekwa reserve na wale wengine walioonyesha nia tayari (mnawajua kina naniliu pamoja na mzee wa kulia lia) sijui mmejiandaaje kama jina la Laigwanani halitakuwepo kwenye first eleven.
12STONE naomba majibu
 
Last edited by a moderator:
CV ZA WANAOJIITA TEAM LOWASA AMBAO SASA WANASEMA CCM ITAPASUKA KAMA MGOMBEA WAO HATAPITISHWA-
MGEJA-Ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga,Chini ya uenyekiti wake-CCM Shinyanga imepoteza majimbo Matatu, Ni huruma tu ya vikao,ccm haikustahili kumteua kutetea tena kiti chake maana alizungukwa na tuhuma lukuki za kuusahau mkoa wake na kujikita katika siasa za magazeti Dar es salaam.

MAHANGA-Ni mbunge wa Segereq ambaye siri ya ushindi wake ndani ya ccm na nje ya ccm anaijua mwenyewe kama mtu mzima,ni maajabu ya Musa kama kweli Mahanga anao uthubutu wa kusema leo anatetea jimbo lake la ubunge.

SERUKAMBA-ni dhahiri ushindi wake wa ubunge mwaka 2010 ni siri ya mtungi anayeijua ni yeye mwenyewe,haishangazi kwa kuujua ukweli kusikia leo anataraji kuhama jimbo lake la awali na kuhamia jimbo la Kigoma Kaskazini

Wengine katika Team Lowasa ni MATHAYO-huyu ni mshindwa wa ubunge Musoma Mjini
MASHA,ni mshindwa ubunge Nyamagana
MBUZI ni mshindwa ubunge Meatu
CHEGENI-mshindwa ubunge Busega
MGANA MSINDAI -Mshindwa ubunge Singida hukoo.
Chenge na Karamagi uhai wa siasa zao na biashara zao ni sababu ya
"hekima" za mfumo huu,sii sura ambazo CCM inatakiwa kujivunia kuwa nazo hadharani.
KIUFUPI MZEE LOWASA AMEAMUA AUNGWE MKONO NA -COALITION OF FAILURES IN POLITICS,AMBAO SASA WANA-GANG UP KUSEMA WANATISHIA VIKAO KUWA MGOMBEA WAO ASIPOPITISHWA CCM INAPASUKA,NIULIZE SWALI,KATIKA HIYO LIST NI NANI MWENYE UWEZO WA KUIPASUA CCM KAMA AKIAMUA KUONDOKA??
PILI;LIPO KUNDI LA MATAPELI,WACHONGA MADILI NA MAJIZI YA KIBIASHARA AMBAYO YAMEUKWAA UNEC WA CCM,HUO UNEC NA BENDERA YA CCM NDIZO NGAO ZA BIASHARA ZAO NA UBABAISHAJI WAO,LEO NAO WANAJIAPIZA KUWA ETI CCM ITAMEGUKA KWA KUWA MAJIZI NA MATAPELI HAYA YATAJIONDOA CCM,NAAMINI HUU NI MWAKA WA CCM KUZALIWA UPYA,NI MWAKA AMBAO MAJIZI,NA MATAPELI AMBAYO YALIAMINI CCM NI KICHAKA CHAO YAKAKIMBILIA MADARAKA NA UONGOZI WA CCM ILI IWE KINGA MWAKA HUU YATAUMBUKA,MILANGO IPO WAZI KUONDOKA ILI PLACENTA YA UCHAFU HUU ISAFISHIKE KABISA

Leo wezi wa serikali,Drug Dealers,Matapeli,vibaka,wote mtu wao awe EL???!!!CCM laweza kuwa kweli dodoki,lakini hata dodoki hufika mahala likasafishwa uchafu wake ili liaminike kutumiwa tena na muogaji,huu ni mwaka wa kusafisha dodoki ili waogaji waiamini tena CCM,uchafu utawekwa jalalani.

NIMALIZIE KWA KUOMBA JAMBO MOJA-NITAFUTIENI MSAFI MMOJA TU ANAYEMUUNGA MKONO EL MAANA NAWAONA WOTE WANAOMUUNGA MKONO WANA NAKISI YA KUTILIWA SHAKA,AMA KWENYE JAMII AU HATA HUKO CCM KWENYEWE,FUMBA MACHO UNIAMBIYE MTU MMOJA TU AMBAYE ANAMUUNGA MKONO EL AMBAYE NI KIELELEZO CHA WEMA KATIKA JAMII.

"Kuelekea Magogoni 2015 ni kishindo kikuu"
😇😇😇😇[/QUOTE

Guys huyu mwandishi haitakii mema Tz-
 
Dedikesheni toka kwa Juma Nature... Hili Gemu......

Nimesikia baba naniliu wa pale magogoni anamhaha sana Laigwanani eti amejipanga kukata jina lake kwa CC ili aiswepo kwenye kinyang'anyiro cha mchakato na badala yake wameweka ma reserve kadha wa kadha ili kupeperusha bendera ya CCM kwa mwaka huu katika mchakato wa mgombea Uraisi majina kama ya C.M Nyerere yamewekwa reserve na wale wengine walioonyesha nia tayari (mnawajua kina naniliu pamoja na mzee wa kulia lia) sijui mmejiandaaje kama jina la Laigwanani halitakuwepo kwenye first eleven.
12STONE naomba majibu
Moto wa LOWASSA hakuna wakuuzima kwa mtindo wa KUKATA JINALE,Wameshachewa MNO.
 
Last edited by a moderator:
Dedikesheni toka kwa Juma Nature... Hili Gemu......

Nimesikia baba naniliu wa pale magogoni anamhaha sana Laigwanani eti amejipanga kukata jina lake kwa CC ili aiswepo kwenye kinyang'anyiro cha mchakato na badala yake wameweka ma reserve kadha wa kadha ili kupeperusha bendera ya CCM kwa mwaka huu katika mchakato wa mgombea Uraisi majina kama ya C.M Nyerere yamewekwa reserve na wale wengine walioonyesha nia tayari (mnawajua kina naniliu pamoja na mzee wa kulia lia) sijui mmejiandaaje kama jina la Laigwanani halitakuwepo kwenye first eleven.
12STONE naomba majibu
Moto wa LOWASSA hakuna wakuuzima kwa mtindo wa KUKATA JINALE,HATA KIKWETE ANALIJUA HILO WAMESHACHELEWA MNO.
 
Last edited by a moderator:
lowasa fisadi papa na jambazi sugu atamdanganya nani? Nenda kasemee chooni sio kwa watz wa sasa. Ccm wajaribu kumpitisha waone moto wake
 
El alichagua mkurugenzi muhimbili hadi leo hospitali imekufa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom