RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,758
Kuna watu wanamuogopa sana Lowassa...ole wenu atakapo kabidhiwa nchi hapo October ...
Siwapendi watu wa namna yako, maana mnanufaika na Rushwa wakati wengi wanaumia.
Tunawasubilia Majukwaani tuwaponde mawe. Lowasa na wenzake wamekithiri kwa Rushwa.
Tangu mwanzo wa sentensi hadi mwaisho, inaonyesha mwandishi ni muongo na hii hi habari ya kupikwa. Hakika mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. Hii ni dalili ya wazi kabisa kuwa huyu EL ndo rais mwenya matunda tamu kwa ajili ya taiafa hili. Huyu ndio pekee, ambae jina lake linawatisha wasioitakia maendeleo tanzania ndani ya ccm and ne yake.
Daah! Hii hatari sanahii habari haina ukweli wowote habari hii imeletwa baada ya watu wa membe siri zao kuvuja kuwa walikua wanawasubili wajumbe kutoka kanda ya ziwa wafanye kikao nazani kuna uzi ulianzishwa humu sasa watu wa membe ndio wanajibu mapigo kuwachafua watu wa lowasa.lowasa hana pesa za kugawa hovyo hivi angeishafilisika
Daah! Hii hatari sana
Unategemea afanye nn wakati nyie mnachukuwa au huko ndo kuifanyia nn nchi yako?acha unafiki ww umeshaifanyia nchi yako nin mpk sa hv
Mbna sijakuelewa embu rudia kuandika vizuriUnategemea afanye nn wakati nyie mnachukuwa au huko ndo kuifanyia nn nchi yako?
Mbna sijakuelewa embu rudia kuandika vizuri
Unaweza kuwa na point sema andikaji yako mbavu