Mkakati wa kumng'oa Pinda waiva ........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati wa kumng'oa Pinda waiva ...........

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Apr 21, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana. Kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe anayefanya zoezi la kukusanya sahihi za wabunge ili aweze kuwasilisha bungeni hoja kutokuwa na imani na waziri mkuu. Picha na Edwin Mjwahuzi

  Mkakati wa Spika wa Bunge Anne Makinda kulidhoofisha Bunge kwa tafsiri potovu za kanuni za uendeshaji wa hilo Bunge kufikia ukomo J3................
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  hamna picha mkuu.
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kuijua taswira ya mtu ambaye anauchungu na hii nchi basi angalia sura ya huyu mbunge Deo Filkunjombe!
   
 4. i

  isoko Senior Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  ukombozi unakaribia
   
 5. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hakuna kitu ninachochukia kama ripitesheni ya threads zenye vichwa vya habari hiyo hiyo na contents zilezile JF imejaa malimbukeni wengi sana agrrrrrrrrrrr

  Note
  Ukitazama hizi Posts : 33,734 pengine 80% ni marudio ya hoja ambazo zimeshaanzishwa very low mkuu.
   
 6. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,090
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Huyu yuko CCM kimwili ila kiroho yuko CDM!!!!!!!BRAVO DEO na wote wenye uchungu na nchi hii.
   
 7. J

  John W. Mlacha Verified User

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  picha ipo
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sura ya Filikunjombe:
  Sura ya kazi!
  Sura ya utu!
  Sura ya ukombozi.
  Sura ya hamasa ya ukombozi.
  Sura ya uchungu wa rasilimali.
  Sura ya matumaini kwa wapiga kura.
  Sura ya nuru kwa Taifa lililotelekezwa,

   
 9. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Chozi la Pinda safari hii halita muokoa
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  nchi hii imejaa mafisadika hakika hii hoja
  itadhoooofishwa mpaka ita potea kimya kimya!!:A S 41:
   
 11. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Maslahi ya nchi yakiwekwa mbele nchi hii itapiga hatua.
  OTIS
   
 12. n

  nketi JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naamini kwa sasa viongozi wataanza kuwajibika kwa kuwatumikia watz badala ya kuhongana ili bajeti mbovu zipitishwe kwa zile kura za kishamba za wana ccm na ccm-b
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kweli Jamaa(DHF) amekunja ndita kweli,ana hasira na Mawaziri wezi kweli.
   
 14. kifinga

  kifinga JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 1,620
  Trophy Points: 280
  yani hapo moyoni anasema hakuna janjajanja hapa na wakinizingua nahamia chadema
   
 15. lukenza

  lukenza Senior Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Big up Filikunjombe
   
Loading...