Mkakati wa kuilinda kura yako isichakachuliwe huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati wa kuilinda kura yako isichakachuliwe huu hapa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Sep 27, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,482
  Likes Received: 418,984
  Trophy Points: 280
  MKAKATI WA KUILINDA KURA YAKO ISICHAKACHULIWE HUU HAPA


  Hivi kuna faida gani kuacha shughuli zako na kwenda kupiga kura na siku inayofuata unasimuliwa ya kuwa mambo yamekwenda visivyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


  Kumbe huku nyuma yale masaa ya jioni ambayo uko kwenye mapumziko ukitegemea mfumo huu wa kidhalimu ufanye kazi ya kutenda haki wenzio uliowaamini wanaoitwa mawakala wa vyama mbalimbali wanapanga matokeo na kuyasaini tu bila hata ya kuzihesabu kura zetu!!!!!!!!! Aiseee huu kweli ni uungwana?

  Jasho letu safari hii tusikubali likageuzwa kipato cha wajanja wachache.

  Safari hii, dhuluma hii tupambane nayo kwa kuhakikisha siku ya tarehe 31st Oktoba hatuna shughuli nyingine ila kurudi masaa ya jioni kuhakikisha haki inatendeka na inaonekana ikitendeka.

  Saikolojia imeonyesha huko Kenya ya kuwa wadhulumaji hubeba mikoba iliyorindima fedha usiku usiku ili kuyachakachua matokeo. Tukiwepo kwenye vituo vya kupiga kura hadi “kieleweke” hapo matokeo yatakapotangazwa mikoba hiyo iliyofurika balaa kwa mpigakura wataipitishia wapi na mgawo watajadiliana saa ngapi maana wewe mpiga kura utakuwa pale ukimulika nyendo zote.  TULINDE KURA ZETU KAMA KUPIGA KURA KUNA TIJA ENDAPO HUWEZI KUIILINDA BASI USIPIGE HIYO KURAAAAAAAAAAAAAAAAAA
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  naomba usiishie kwenye hii forum, panua uwigo ujumbe wako utoke kwenye magazeti kila siku, mda ni mchache lakini bado nafasi ipo ya kufikisha ujumbe kwa watanzania wengi
  This time for Tanzania,
  Tsamina mina zangalewa
  Cause this is time for change

  Tsamina mina eh eh
  Waka waka eh eh
  Tsamina mina zangalewa
  This time for change
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,482
  Likes Received: 418,984
  Trophy Points: 280
  Ninajipanga tatizo ni vyombo vyetu vinaminya "anti-establishment news"

  Hata hivyo ninakushukuru
   
Loading...