Hadi wewe!!!
Hata hivo una roho ngumu mkuu, kama ulijikaza ukameza maneno yako!!
Umeishatoka UKAWA kamanda?Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Alikaribirishwa mkuu na wewe ukiwemo huko huko UKAWA.Utadhani ulikuwa kichwani mwangu Mkuu, hakuna sababu yoyote ya huyu fisadi kukaribishwa UKAWA.
Unasemaaaaa?Huyu ndiye aliyeamua kujiuzulu kashfa ya Richmond ili kumponya jamaa yake asiumbuke. Hata hivyo jamaa yake akawatuma vijana wake akina Nape wamuite Gamba mbele za watu bila kujali kuwa alijitoa muhanga kwa ajili yake.
Ndio maana Profesa Mwongo kakomaa hataki kujiuzulu kwani anajua ukijitoa muhanga huku unamsaidia mkulu yeye analeta uswahili anakutosa.
Hii CCM hii! We acha tuu. Ni kama kundi la mazimwi
Alikaribirishwa mkuu na wewe ukiwemo huko huko UKAWA.
Sasa nithibitshe nini wakat jambo linaeleweka!!?
Unless uniambie ulienda CCM au ulihamia ACT
Wewe ndio mjinga halafu BAK hakuna ujinga mbaya kama wakujiona uko sahihi, na ndio ujinga ulio nao wewe asee, ndio maana nakwambia umeza maneno yako, Jamaa alipita na kebehi zote ulizo mtolea najua lazma ulimsapot tu na bila aibu tena unaendelea kubisha, bora hata ungekausha ningekuona wa maana, sasa kama hukuona sababu ya kumleta mbona alikuja!!? Na umeiona sababu kuwa yeye anafuata sera za chama!!? Sasa si unajipinga mwenyewe hapo ndio maana nakushangaaAcha ujinga wewe CHADEMA ilikuwepo kabla ya Lowassa na itaendelea kuwepo
Naona umepata uwanja wa kujidai...Ha ha ha!Unasemaaaaa?
Duh, ama kweli duniani kuna maajabu. Vipi uliwapigia kura ccm?
Huyu yupo ila kwa id nyingine, id hii ya Ocampo four ilikuwa maalum kwa uchaguzi kama ya yule mpinzani wake aliyekuwaga sisiemu, id yake imenitoka kidogo.Hivi Ocampo four yupo wapi huyu jamaa
Dah.....Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Mtazamo wako ukoje kuhusu ukawa ya sasa?Mkuu kusema kweli sikupiga kabisa kura
Bavicha bana, kwa hiyo ulitaka fisadi awe rais.!!Acha ujinga wewe CHADEMA ilikuwepo kabla ya Lowassa na itaendelea kuwepo baada ya Lowassa. Kwanini nihamie vyama ambavyo sikubaliani navyo? Kwa taarifa yako kama ambavyo waliokuja na Lowassa baadhi wameamua kurudi CCM Lowassa naye anaweza kabisa kufanya hivyo. Mimi siungi mkono chama kutokana na mtu A au B bali ni sera za chama. Hivyo kwangu mimi Lowassa bado ni fisadi tu. Na siku akiamua kurudi CCM nitakuwa wa kwanza kushangilia.
Haya, sawa.Mkuu kusema kweli sikupiga kabisa kura
Halafu huyu BAK anajifanya mjuajii kumbe ndio wale wale.Bavicha bana, kwa hiyo ulitaka fisadi awe rais.!!
Wewe ndio mjinga halafu BAK hakuna ujinga mbaya kama wakujiona uko sahihi, na ndio ujinga ulio nao wewe asee, ndio maana nakwambia umeza maneno yako, Jamaa alipita na kebehi zote ulizo mtolea najua lazma ulimsapot tu na bila aibu tena unaendelea kubisha, bora hata ungekausha ningekuona wa maana, sasa kama hukuona sababu ya kumleta mbona alikuja!!? Na umeiona sababu kuwa yeye anafuata sera za chama!!? Sasa si unajipinga mwenyewe hapo ndio maana nakushangaa
Vipi ulimpigia kura lowasa??Uzi huu una uhusiano upi na mimi kumshutumu Lipumba? Kwa taarifa yako kwangu mimi Lowassa bado ni fisadi tu ingekuwa ni amri yangu asingekaribishwa CHADEMA. Acha kukurupuka na kuhitimisha jambo usilolijua. Kitu kama hukijui uliza kwanza badala ya KUKURUPUKA.
Na kweli wamefuata hadi wanampigia na deki barabaraniViongozi wakisema mtafuata.
Eti, wasema Lowasa bado ni fisadiAcha ujinga wewe CHADEMA ilikuwepo kabla ya Lowassa na itaendelea kuwepo baada ya Lowassa. Kwanini nihamie vyama ambavyo sikubaliani navyo? Kwa taarifa yako kama ambavyo waliokuja na Lowassa baadhi wameamua kurudi CCM Lowassa naye anaweza kabisa kufanya hivyo. Mimi siungi mkono chama kutokana na mtu A au B bali ni sera za chama. Hivyo kwangu mimi Lowassa bado ni fisadi tu. Na siku akiamua kurudi CCM nitakuwa wa kwanza kushangilia.