Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

WanaCHADEMA tuliobakia na msimamo ni wachache sana.Waliowengi wamelamba matapishi.Kwa sasa wanaburuzwa tu na akili za ULIPO TUPO.
 
"Lisemwalo lipo"
 
hatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani
Mkuu bado upo JF? Nipe maoni yako kwa sasa
 
hatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani
Mkuu, salama? Kitambo sana, nimeona nikusalimie. Kuna mtu kalitibua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…