Mkaguzi msaidizi wa zimamoto na uokoaji

Mkaguzi msaidizi wa zimamoto na uokoaji

Joined
Dec 26, 2012
Posts
63
Reaction score
9
WADAU Hp nyie mmeshafanyiwa usahili,SAJINI NA KONSTEBO,WANAANZA USAILI TAR.16/4/2014.TUNAOMBENI DONDOO ZA INTERVIEW.
 
WADAU Hp nyie mmeshafanyiwa usahili,SAJINI NA KONSTEBO,WANAANZA USAILI TAR.16/4/2014.TUNAOMBENI DONDOO ZA INTERVIEW.

Dondoo ni kuwahi mapema saa mbili asubuhi eneo la tukio, pamoja na kuwa na vyeti vyako original. Ukitaka zaidi ya hayo, utakuwa umeshashindwa interview. Kama ulizoea kuibia darasani, katika interview utapotezwa njia kabisaaaa hatimaye kukosa kazi.
 
jamani niangalizieni jina KALIPEN AVELIN.
 
Namimi wa konstebo nataka kujua jina la athuman hassan.mana naona jina la athuman h. Athuman xaxa nimebak njia panda,anaejua anitarifu kwa namb 0683305215 ata sms inatosha
 
Back
Top Bottom