Mkaguzi msaidizi wa zimamoto na uokoaji

Mkaguzi msaidizi wa zimamoto na uokoaji

Dondoo ni kuwahi mapema saa mbili asubuhi eneo la tukio, pamoja na kuwa na vyeti vyako original. Ukitaka zaidi ya hayo, utakuwa umeshashindwa interview. Kama ulizoea kuibia darasani, katika interview utapotezwa njia kabisaaaa hatimaye kukosa kazi.

VIP mkuu inamana ukimaliza interview yao tu pale unawaachia vyet vyako original mezan au unasepa navyoo??
 
vyeti wanavikagua kwa kina sana then wanakurudishia unaondoka navyo. Hawataki result slip kabisa.
 
Dondoo ni kuwahi mapema saa mbili asubuhi eneo la tukio, pamoja na kuwa na vyeti vyako original. Ukitaka zaidi ya hayo, utakuwa umeshashindwa interview. Kama ulizoea kuibia darasani, katika interview utapotezwa njia kabisaaaa hatimaye kukosa kazi.

Teh teh....wamezoea kudu wot....?
 
Wadau nasikia bila cheti cha jkt,kwenda kwenye usaili,ni sawa na kutupa hela.chanzo ni afisa mmoja wa jeshi la zimamoto na uokoaji dar -es- salaam
 
Hicho si lazima sana. Kesi iko ktk cheti cha la saba. Kama umeitwa na unacho hicho cheti wewe uko ktk nafasi nzuri ya kunyaka kazi. Kama unacho na cha jkt ndo unazidi kujipunguzia ushindani na kujihakikishia kazi.
 
asante mkuu kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom