kuna habari ambazo bado hazijathibitishwa kuwa kada wa ccm ambaye pia ni mjumbe wa nec kwa muda mrefu yuko uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mkutano mkubwa wa chadema utakaofanyika reading tarehe 26/08/2012. Habari kutoka vyanzo vyetu vinasema mjumbe huyo kaamua kufanya hivyo kwa sababu amechoshwa na mambo mengi yanayofanywa na ccm kwa hiyo ameamua kuingia upinzani ili aweze kuwakosoa bila kuwa na hofu
more details to come..
Updates...
Hizi habari zimethibitishwa lakini mhusika ambaye tayari ameisha shika nyadhifa mbali mbali serikalini kaomba jina lake lisitajwe kwa sasa mpaka siku ya mkutano ambao utarekodiwa na video zitarushwa kwenye television mbali mbali bongo
You will be shocked
Karibu Reading Mzee wa Kazi.lakini nakutahadharisha tu ile orodha yako ya wasomi wengi wao hawana kazi za professional tunalinda nao madukani au yule Mzee Aseri anafanya Care hapa Reading kile cheo cha kusema Mwenyekiti wa Copmuter 4 Africa si kazi ya kulipwa. Aseri hana tofauti na Susan mzee wote wanaogesha wazee wa kizungu.hata DR Lusing==== hajwawahi kufanya kazi ya professional.na ni failure through and through waulize DP chama cha Mtikila na CCM Reading aligombea ukatibu wa CCM akapigwa chini . huko TA ameongoza kama katibu mkuu hakuna alilofanya akaja kuwa Mwenyekiti hakuweza kuitisha kikao hata kimoja. ni liability hana uwezo wa kisiasa. na watakudharau wewe kuwa huna shule .Kuna habari ambazo bado hazijathibitishwa kuwa kada wa ccm ambaye pia ni mjumbe wa NEC kwa muda mrefu yuko Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mkutano mkubwa wa Chadema utakaofanyika Reading tarehe 26/08/2012. Habari kutoka vyanzo vyetu vinasema mjumbe huyo kaamua kufanya hivyo kwa sababu amechoshwa na mambo mengi yanayofanywa na CCM kwa hiyo ameamua kuingia upinzani ili aweze kuwakosoa bila kuwa na hofu
MORE DETAILS TO COME..
UPDATES...
Hizi habari zimethibitishwa lakini mhusika ambaye tayari ameisha shika nyadhifa mbali mbali serikalini kaomba jina lake lisitajwe kwa sasa mpaka siku ya mkutano ambao utarekodiwa na video zitarushwa kwenye television mbali mbali Bongo
mkuu siyo sababu, mtu mzima ukiamua kitu umeshaamua. huyo sita ni mtata, bado anafikiria kwamba ccm itampa urais kwa upande mwingine bado anaipenda CDM na sera zake za kurudisha madaraka kwa wananchi. wanasiasa ndiyo walivyo.....Halafu mimi kinachoniboa na baadhi ya members ni kuwahi mno kuposti habari kabla hazija'mature.
Imagine huyu mtu akisoma hapa ataamua nn?
Majuzi Lema aliongea hadharani kuwa Sita na wenzie wangetangaza kujiunga na cdm, lkn waliposikia wakatangaza kuwa hawana ndoto hizo!
Tuwekeni hbr zenye credibility.
abuu faraji tuma wajumbe kwa ajili ya kupeleka habari kwa balozi maana hatumuogopi mtu utabakia kuwa kibaraka wa utawala mbovu lakini tunamtanguliza mungu na tutafanikiwa nyie ccm tambikeni uweni wapinzani fugeni majini chadema ni nguvu ya mungu tu
abuu faraji tuma wajumbe kwa ajili ya kupeleka habari kwa balozi maana hatumuogopi mtu utabakia kuwa kibaraka wa utawala mbovu lakini tunamtanguliza mungu na tutafanikiwa nyie ccm tambikeni uweni wapinzani fugeni majini chadema ni nguvu ya mungu tu
Ukimtaja Lema, mie namjua kama mropokaji sana....na haionyeshi atajirekebisha!Halafu mimi kinachoniboa na baadhi ya members ni kuwahi mno kuposti habari kabla hazija'mature.
Imagine huyu mtu akisoma hapa ataamua nn?
Majuzi Lema aliongea hadharani kuwa Sita na wenzie wangetangaza kujiunga na cdm, lkn waliposikia wakatangaza kuwa hawana ndoto hizo!
Tuwekeni hbr zenye credibility.