Mjumbe wa NEC ya CCM taifa kurudisha kadi mkutano wa CHADEMA Reading

Halafu mimi kinachoniboa na baadhi ya members ni kuwahi mno kuposti habari kabla hazija'mature.
Imagine huyu mtu akisoma hapa ataamua nn?
Majuzi Lema aliongea hadharani kuwa Sita na wenzie wangetangaza kujiunga na cdm, lkn waliposikia wakatangaza kuwa hawana ndoto hizo!
Tuwekeni hbr zenye credibility.

Sitta ni janga la taifa bora aje Lowasa
 
Isijekuwa anatafuta hifadhi kufichia madhambi yake. Tuwapime kwani ngumu sana kumpata mwanamagamba msafi.
Sio kila aliyeko CCM ni magamba, kuna wengi ndani ya ccm wamechoka na uongozi mbovu pamoja na sera mbaya hivyo wameamua kuondoka kuliko kukaa chumba kimoja na magamba
 
Najua mtasema mengi, na mnatamani iwe hivyo, ingawa hakuna uwezekano wa mjumbe wa nec kufanya hivyo, labda awe hakupitia kivukoni. hata dr. ana mpago wa kurudisha kadi yenu na kujiunga na chama chetu, hapo napo semeni!!!!
 
Huko reading ndio wako wafadhili wa chadema anaosema nepi (NAPE)?

Kwa kweli hakuna CHAMA CHA SIASA chochote au nchi yoyote hapa duniani ambayo haina wafadhili. CCM wanao wafadhili tena wa kumwaga, wengi wa fedha chafu. CCM yenyewe iliwahi kuwa mfadhili mkuu (unakumbuka enzi za wapigania uhuru wa AFRIKA KUS, ZIMBABWE nk), CCM kwa fedha za WATANZANIA, enzi za chama kushika hatamu, ilikuwa mfadhili mkuu wa vyama vya ANC, ZANU, baadaye ZANU-PF, nk na ufadhili huu ndio uliosababisha TZ kuwa maskini mpaka sasa.

KIBAYA ni double standards: CCM wao wanaalika wafadhili wao na kuwaita 'marafiki'; lakini kwa CDM NAPE anawaita 'watu wasioitakia mema TZ'. UNAONA sasa, kwa CCM ni marafiki, inapokuja kwa CDM ooo ni watu wasioitakia mema nchi.
 
kwa kweli hakuna chama cha siasa chochote au nchi yoyote hapa duniani ambayo haina wafadhili. Ccm wanao wafadhili tena wa kumwaga, wengi wa fedha chafu. Ccm yenyewe iliwahi kuwa mfadhili mkuu (unakumbuka enzi za wapigania uhuru wa afrika kus, zimbabwe nk), ccm kwa fedha za watanzania, enzi za chama kushika hatamu, ilikuwa mfadhili mkuu wa vyama vya anc, zanu, baadaye zanu-pf, nk na ufadhili huu ndio uliosababisha tz kuwa maskini mpaka sasa.

Kibaya ni double standards: Ccm wao wanaalika wafadhili wao na kuwaita 'marafiki'; lakini kwa cdm nape anawaita 'watu wasioitakia mema tz'. Unaona sasa, kwa ccm ni marafiki, inapokuja kwa cdm ooo ni watu wasioitakia mema nchi.
nape mwenyewe nasikia anakuja kuhudhuria mkutano
 
Najua mtasema mengi, na mnatamani iwe hivyo, ingawa hakuna uwezekano wa mjumbe wa nec kufanya hivyo, labda awe hakupitia kivukoni. hata dr. ana mpago wa kurudisha kadi yenu na kujiunga na chama chetu, hapo napo semeni!!!!

Wapo wengi tu wanatamani kufanya hivyo ila umafioso wa magamba unawatisha, labda wewe ndio haupo tayari.
 
Back
Top Bottom