ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 566
- 1,002
ILA KUMBUKA YULE MCHEZAJI NDIO ALIWASAIDIA CHADEMA KUPATA IDADI KUBWA YA WABUNGE,Sio wote mpaka wachezeshwe, hata kwenye timu kubwa wakinunua wachezaji wanakaa bench mda kidogo ili wazoehe mazingira labda yule atakaye zoea mazingira haraka na kuendana na mfumo wa kocha. Ni chadema tu walio sajili mchezaji hata kabla ya wiki wakampa nafasi muhimu ya ushambuliaji wakati hajafanya hata mazoezi kisa mzoefu, kilichowapata nyinyi mashaki mnakijua. Hakina kocha mzuri anaweza kufanya Ujinga huo wakupanga mchezaji kabla ya kufanya naye mazoezi.
JIULIZE KAMA CHADEMA WANGEMKATAA ALAFU AJIUNGE CHAMA KINGINE JE INGEKUAJE?