Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyebuni project ya " CHADEMA ni Msingi" ahamia CCM na kupaponda Ufipa!

Sio wote mpaka wachezeshwe, hata kwenye timu kubwa wakinunua wachezaji wanakaa bench mda kidogo ili wazoehe mazingira labda yule atakaye zoea mazingira haraka na kuendana na mfumo wa kocha. Ni chadema tu walio sajili mchezaji hata kabla ya wiki wakampa nafasi muhimu ya ushambuliaji wakati hajafanya hata mazoezi kisa mzoefu, kilichowapata nyinyi mashaki mnakijua. Hakina kocha mzuri anaweza kufanya Ujinga huo wakupanga mchezaji kabla ya kufanya naye mazoezi.
ILA KUMBUKA YULE MCHEZAJI NDIO ALIWASAIDIA CHADEMA KUPATA IDADI KUBWA YA WABUNGE,
JIULIZE KAMA CHADEMA WANGEMKATAA ALAFU AJIUNGE CHAMA KINGINE JE INGEKUAJE?
 
Unashangaa hilo, hukumsikia mbunge wa siha akisema kuwa mwaka 2013 alisaidia kutibu majeruhi waliojeruhiwa na polisi Arusha akiwa mwanachama wa chadema, wakati usahihi ni kuwa alijiunga chadema mwaka 2015 baada ya kukatwa kugombea kwa tiketi ya ccm
Hahahaaaa...... Siasa ni full propaganda!
 
Back
Top Bottom