Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Arusha ajiunga CHADEMA

Sijafurahi sana.Kitu pekee kinachoweza nifurahisha ni kuwahamasisha Wanachadema wengi kujiandikisha kupiga kura siku milango ya kufanya hivyo ikifunguliwa.Huyu mtu aliengia Chama ni mmoja sasa tunahitaji wapiga kura wengi iwezekanavyo.Napendekeza kila mkutano wa ndani na hadhara ajenda kuu ya UKAWA iwe ni kuwaasa watu wengi WAKAJIANDIKISHE kipenga kikipulizwa.
 
mkuu Molemo Okayo ni mjumbe wa halmashauri kuu au ni aliyekuwa mjumbe wa halmashauri kuu. Inakuwa kama habari za magazeti pendwa
 
Tumelifanya hilo na wametuaidi watajiandikisha wote
 

Attachments

  • IMG-20150221-WA0062.jpg
    148.7 KB · Views: 174
Safi sana tutaheshimiana tu.
 

Okay Kilaza katika hili tutaelewana tu. Sera za CCM zimeshindwa kwa kiasi kikubwa; hazifai ndio maana watu wanaojitambua wanahamia kwenye nuru na kuacha giza la CCM
 
Last edited by a moderator:
Tumelifanya hilo na wametuaidi watajiandikisha wote

CDM KWANZA.Kwa hilo umenikosha.Sasa nakupa jingine,nilikua nasoma comment ya mchangiaji mmoja alishauri jambo kama hili lakini alinishitua pale chama cha majambazi CCM kinapotumia tamko la kujitoa kwa UKAWA kwenye kura ya maoni.Wanawadanganya watu vijijini wapenda CDM na UKAWA kua hawana haja ya kujiandikisha kwa sasa eti kwa kua UKAWA wamejitoa ktk kura ya maoni.
Huu ni uongo mbaya kwa sababu daftari hilohilo moja litatumika na chaguzi zingine hususan uchaguzi mkuu ujao.Naomba na hili watu waelimishwe kupitia mikusanyiko mikubwa kama hii na kwa nchi nzima.Nitafurahi tena kwa mrejesho.
 
Kamanda tumeliona hilo natumeshaanza kulifanyi kazi mbeya Dar na huku longido tulipokua ndio tulikua tunawaelewesha na wametuelewa asante kwa kuliona hilo natunaendelea kufanyia kazi
 
CCM naona wamegoma kuja huku, Pasco, LAKI sipesa, MUSSA ALLAN, FaizaFoxy njooni huku

Sasa umeniitia hizo porojo? huyo hayuko Halmashauri kuu ya CCM kama alikuwepo basi hata katika historia hayumo. Kasome tena post namba moja, tazama na hiyo miaka iliyoandikwa halafu tazama leo uko mwaka gani? kisha ujione ulivyo punguani kwa kuniitia huu upuuzi.
 

Naona wewe makengeza ya kenge umeshawasili hakuna ufisadi huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…