Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Arusha ajiunga CHADEMA

Mkuu Chademakwanza, huo ubongo wakutanuliwa kwanza uwepo!, kama haupo utatanua nini zaidi ya mdomo!.
Pasco

Ndio unatanuliwa na Habari aliyoleta Molemo siyo kumuita muongo nipo kwenye mkutano nanina ziara ndefu sana kanda ya kaskazini kuifuta ccm nawananchi wamechoshwa na ccm na sera zake
 

mkuu pasco huyu mzee anaitwa Francis Ndipapa ole Ikayo (mtoa mada amekosea) namfahamu vizuri anaushawishi mkubwa mno longido sijui kwanini amehama

alikuwa mnazi sana wa ccm ukiona mpaka yeye kahama ujue ccm longido inayo kazi kubwa huyu ndio alikuwa mpinzani mkubwa sana wa laizer (rejea kura za maoni ccm 2010)

twende mbele turudi nyuma ccm imepata pigo
 
Yeye ndio wa kwanza kuondoka CCM? Wala hatakuwa wa mwisho, hana madhara yeyote kwa chama wala wanachama wake!
Hata hivyo CHADEMA si mlisema hampokei 'makapi' kutoka CCM?
Tulichosema Hatuta wanunua wanachama wa ccm kwa pesa sera na msimamo wa chama ndio utawaleta wanaccm chadema umebakia mwenyewe ccm
 
PIGO LIKO WAPI SASA HAPO,mambo mengine vichekesho

Teh teh teh...
Mkuu hujawazoea tu hawa? Bwn. Mpendazoe alipoondoka CCM walisema hivi hivi. Ila mpaka sasa CCM inendelea kuongoza medani za kisiasa Tanzania.
 
Umbeya mtupu..mtu makini hawezi kufanya maamuzi ya kijuha kama haya
 
Mbunge wa Longido ni nani?, jee tuhesabu sio tuu Chadema imevuna mwanachama mmoja bali itavuna jimbo la Longido?!.

Pasco
 
Wanafurahia makapi waliosema hawatayapokea. Hamna kitu huko,miaka yote wanaokoteza tu.
 
Mkuu Chademakwanza inapaswa ujifunze kuwa CCM ni chama cha siasa sio SACCOS kama CHADEMA. CCM iliwekeza kwa watanzania. Kwahiyo huyo jamaa yenu hana uwezo wa kuitikisa CCM.
Kweli wamewekeza sana kuwangoa kucha watanzania nakuchukua hela yao kifisadi
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh...
Mkuu hujawazoea tu hawa? Bwn. Mpendazoe alipoondoka CCM walisema hivi hivi. Ila mpaka sasa CCM inendelea kuongoza medani za kisiasa Tanzania.

Rushwa ya kofia kanga na vilemba imeshashtukiwa watanzania wameachana na tabia yamazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…