Mjumbe wa bunge la katiba aanguka Bungeni.

Mjumbe wa bunge la katiba aanguka Bungeni.

Hivi bunge likiwa linaendelea huwa wanaruhusu watu kuwasha simu zao au??
I wonder....
huenda huwa wanachat tu Bungeni wakati vikao vikiendelea..
Hii ni dhihaka kubwa sana kwa kodi zetu...
 
Tunataka tujue akiwa nije ya binge huko msibani atalipwa posho???
 
Kafiwa na baba yake!!! Madhara ya kuacha simu wazi wakati wa vikao muhimu!!!!
Wakati bunge linaendelea kuna mjumbe mmoja wa Bunge la Katiba Kaanguka na kubebwa kupelekwa nje. Kwa walioko bungeni wanaweza kutujuza kilichompata.

Mimi nimeona kupitia TBC1.
 
Back
Top Bottom