autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Amefiwa na baba yake mzazi.
Dah nilitaka aanguke hasirudi buingeni maana ni msaliti wa vizazi vinavyokuja. Any way pole kwa mzazi wake naamini mzazi wake hapendi anachokifanya bungeni. R.I.PMtu aliyekaa kwenye kiti anaangukaje? au kiswahili kimekupiga chenga? nikusaidie 'Mjumbe mmoja Ziana Mohamed kundi la 201 toka vyuo vikuu Zanzibar aangua kilio bungeni' baada ya kupata taarifa ya msiba wa mzazi wake (usiwe na tabia ya Kiukawa ukawa)
Mtu aliyekaa kwenye kiti anaangukaje? au kiswahili kimekupiga chenga? nikusaidie 'Mjumbe mmoja Ziana Mohamed kundi la 201 toka vyuo vikuu Zanzibar aangua kilio bungeni' baada ya kupata taarifa ya msiba wa mzazi wake (usiwe na tabia ya Kiukawa ukawa)
Amepewa taarifa ya msiba wa mzee wake,interahamwe mmoja akasema tuzime simu!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Lazima uulize maana hujawahi kupata mshituko wa kupata taarifa ya kifo cha mtu wa karibu ktk maisha yako.
Wanahitaji posho zake waendeshee msiba.......na yeye ile kuwaza kupungua posho akazimia
Mjumbe mmoja wa bunge maalum ambaye sikubaatika kupata jina lake mapema
Amedondoka ndani ya bunge hilo baada ya kupokea taarifa za kifo cha baba yake mzazi gafla kwa njia ya sms
Nimejiuliza hao ndugu Zake ni washeinzi kiasi gani hata washindwe kupitisha taarifa hizo kwa mwenyekiti na baadae muhusika apewe na uongozi wa bunge
Au walitaka naye afe ili warithi

Au walitaka naye afe ili warithi[/QUO
Siku hizi hakuna haja ya kufichana, mpe mtu live, akifa itakuwa matokeo na Mungu kampenda zaidi. Huwezi kuwa mtumwa wa vifo kana kwamba tutaishi milele! Pole yake lakini. Big up kwa aliyemtumia sms, hakuwa na njia nyingine but ndo ukweli. Ila alaaniwe kama sms ilikuwa ya uongo.