GE2025 Mjumbe CCM Kigoma Mjini: ACT walikuja kuniomba kura nikaibiwa simu yangu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Mwananchi katika jimbo la kigoma mjini ambaye pia ni mjumbe wa balozi CCM amefunguka kuwa timu ya watu wa ACT walimtembelea nyumbani kwake kwaajili ya kumuomba kura lakini wakaondoka na simu yake kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni wizi.

Tukio hilo limetokea tarehe 25 mwezi September mwaka huu 2025 nyumbani kwa mwananchi huyo anayeishi ujiji.

Baada ya tukio hilo mwananchi huyo alifika kituo cha polisi na kuripoti tukio hilo na kisha kupatiwa RB NUMBER kwaajili ya kufuatilia kesi hiyo.

Niwakumbushe tu Wakuu, kuwa media hii inamilikuwa na Baba Levo ambaye anachuana na Zitto kwenye nafasi ya Ubunge katika jimbo hilo la Kigoga Mjini.

Baada ya tukio hilo mwananchi huyo alifika kituo cha polisi na kuripoti tukio hilo na kisha kupatiwa RB NUMBER kwaajili ya kufuatilia kesi hiyo😂😂😂😂
 
Mwananchi katika jimbo la Kigoma mjini amefunguka kuwa timu ya watu wa ACT walimtembelea nyumbani kwake kwaajili ya kumuomba kura lakini wakaondoka na simu yake kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni wizi.

Tukio hilo limetokea tarehe 25 mwezi September mwaka huu 2025 nyumbani kwa mwananchi huyo anayeishi ujiji.

Baada ya tukio hilo mwananchi huyo alifika kituo cha polisi na kuripoti tukio hilo na kisha kupatiwa RB NUMBER kwaajili ya kufuatilia kesi hiyo
 
Hiyo nyumba ipo jimbo la Kigoma mjini? All in all Zitto aache wizi.
 
Mwananchi katika jimbo la kigoma mjini amefunguka kuwa timu ya watu wa ACT walimtembelea nyumbani kwake kwaajili ya kumuomba kura lakini wakaondoka na simu yake kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni wizi.

Tukio hilo limetokea tarehe 25 mwezi September mwaka huu 2025 nyumbani kwa mwananchi huyo anayeishi ujiji.

Baada ya tukio hilo mwananchi huyo alifika kituo cha polisi na kuripoti tukio hilo na kisha kupatiwa RB NUMBER kwaajili ya kufuatilia kesi hiyo
20251001_132837.jpg
 
Mwananchi katika jimbo la Kigoma mjini amefunguka kuwa timu ya watu wa ACT walimtembelea nyumbani kwake kwaajili ya kumuomba kura lakini wakaondoka na simu yake kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni wizi.

Tukio hilo limetokea tarehe 25 mwezi September mwaka huu 2025 nyumbani kwa mwananchi huyo anayeishi ujiji.

Baada ya tukio hilo mwananchi huyo alifika kituo cha polisi na kuripoti tukio hilo na kisha kupatiwa RB NUMBER kwaajili ya kufuatilia kesi hiyo
IMG-20251001-WA0018.jpg
 
Wakuu,

Mwananchi katika jimbo la kigoma mjini ambaye pia ni mjumbe wa balozi CCM amefunguka kuwa timu ya watu wa ACT walimtembelea nyumbani kwake kwaajili ya kumuomba kura lakini wakaondoka na simu yake kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni wizi.

Tukio hilo limetokea tarehe 25 mwezi September mwaka huu 2025 nyumbani kwa mwananchi huyo anayeishi ujiji.

Baada ya tukio hilo mwananchi huyo alifika kituo cha polisi na kuripoti tukio hilo na kisha kupatiwa RB NUMBER kwaajili ya kufuatilia kesi hiyo.

Niwakumbushe tu Wakuu, kuwa media hii inamilikuwa na Baba Levo ambaye anachuana na Zitto kwenye nafasi ya Ubunge katika jimbo hilo la Kigoga Mjini.

Nilitaka kushangaa Zitto hawezi kumenya mihogo vile bila malipo
 
Back
Top Bottom