Mjue mwanamke

Waliumbwa kumfurahisha mwanaume; Hivyo hayo ni wajibu wao, na wala huwasikii wakilalamika. Acheni zenu!
 
Huwa simuelewi mwanaume anaemsifia mwanamke iwe kwa zuri au baya hata nukta 1. Wanawake ni dhaifu % zote ndo maana umeanza na ANABADILIKA. Never trusst woman
 
Huwa simuelewi mwanaume anaemsifia mwanamke iwe kwa zuri au baya hata nukta 1. Wanawake ni dhaifu % zote ndo maana umeanza na ANABADILIKA. Never trusst woman

Sasa wewe umetoa sifa gani kati ya hizo? Nzuri au mbaya? We umejielewa? Maana wengine umesema huwa huwaelewi.
 
Amen oooh! Mwanamke mvumilivu sana wanaume wanatuumiza saaanaaa.
 
kizuri kula na mwenzako bibi wee unataka awewako peke yako umemuumba huyoo??

Kwani nimewanyima?? Chukueni chukua yote yote hata sihitaji tena.

On a serious note, mimi mitala siwezi. mwanaume anayetengeneza mahusiano yasiyofaa hadi anaishia kuCheat simply hanijali na Sina haja ya kumjali pia.
 
Usafiri nimemnunulia mimi af anaenda kugegedwa ndani ya gari hilo. Nyumba nmejenga mie kwa ajili yetu, nkisafir anaingiza vimchepuko vyake. Hela nampa mwenyewe af anaenda kuhonga viSmall vyake. Ananishindisha leba kupokea mtoto kumbe mtoto wa haram. Naskia unagongwa na washkaji nakutetea kuwa we 100% mwaminifu. Mtoto akimzaa anasahau km nami nipo kila saa ye na mtoto. Mi mwenyewe nahama kwetu tukaishi pamoja gheto. Navumilia yt hayo kwa ajili yako, kumbe mtu mwenyewe hukufata mapenzi, umefata mali. Kuwa mwanaume ni kitu kigumu sana nyie wanawake muelewe
 
Kuwa mwanamke si kusamehe mwanaume akichepuka.
Na ndo wanafanyaga makusudi wakijua watasamehewa.
Me mwanaume akichepuka atembee kwa magoti mwenge hadi posta ndo nijue katubu.
Otherwise watu wanachepukaga makusudi kabisa hakuna cha shetani wala nini.

Umeolewa?, kama bado subiri uolewe kwanza
 
Ujinga mtupu! Acheni hoja zakitoto hapa JF. Lets be objective jamani, hizi hisia juu ya wanawake hazina tija. Ni hawahawa wanatoa mimba, wanatupa watoto chooni etc.
Kila kiumbe kina umuhimu wake jua hilo.

Kwa kupost huu ujinga nawe ukajiona mjanja
 
Back
Top Bottom