Mjue mwanamke

Mjue mwanamke

Kwa kupost huu ujinga nawe ukajiona mjanja

Deal na facts sio hisia zako, sikushangai typical ya watu wasio critical thinkers. Dadavua mambo kabla huja comment plse
 
Umeolewa?, kama bado subiri uolewe kwanza

Ndoa haina tofauti na uhusiano mwingine wowote. Tofauti ni kuwa mmefungwa na vitabu vya dini na jamii kuachana. Vitu hivyo havunifungi mimi fortunately.
Kwanza hata vitabu vya dini msingi wa talaka ni uzinzi.
 
Ujinga mtupu! Acheni hoja zakitoto hapa JF. Lets be objective jamani, hizi hisia juu ya wanawake hazina tija. Ni hawahawa wanatoa mimba, wanatupa watoto chooni etc.
Kila kiumbe kina umuhimu wake jua hilo.

Wanatupa watoto,vipi na wale wanaokataa mimba?
 
Deal na facts sio hisia zako, sikushangai typical ya watu wasio critical thinkers. Dadavua mambo kabla huja comment plse

Which facts?

Hahaha mambo gan nidadavue?
 
Back
Top Bottom