# MWANAMKE
● Anabadili Jina lake
● Anahama nyumbani kwao
● Anaacha familia yake
● Anaondoka na wewe
● Anajenga nyumba na wewe
● Anabeba ujauzito wako
● Ujauzito wako unabadili umbo lake
● Anakua mnene
● Anateseka chumba cha uzazi kwa maumivu makali kwa ajili ya mtoto wako.
● Na mtoto akizaliwa anasubiri umpe jina unalolipenda.
Mpaka kifo chake atakufanyia kila kitu, kukupikia, Kusafisha nyumba yako, Kuwatunza wazazi wako, Kulea watoto, Kubana matumizi, Kukushauri, Kuhakikisha unapumzika, Kujenga mahusiano mazuri ya familia na wakati mwingine kusakamwa sana na familia yako kwa mambo ambayo umetenda wewe, Wakati mwingine anaweza hatarisha afya yake, Uhai wake kwa ajili yako.
Anakufumania analia kisha anakusamehe.
Mwanaume Muheshimu Mwanamke Katika Maisha yako, Sababu kuwa Mwanamke si jambo rahisi.
Mfanye Mwanamke kuwa kiumbe mwenye furaha pindi unapokua nae maana Muda wa furaha kwake ni Mdogo sana.
Heshima kwa Wanawake wote Duniani.
.......
Nimeikopi mahali tu jamani!
duh kazi ipo
Jipangeduh kazi ipo
● Anabadili Jina lake# MWANAMKE
● Anabadili Jina lake (kwa uislam hairuhusiwi kabisa, ni ujinga ni hiari haujustify uanamke)
● Anahama nyumbani kwao (hili sawa imeandikwa kwenye bible)
● Anaacha familia yake (safi kabisa
● Anaondoka na wewe (sawa)
● Anajenga nyumba na wewe
● Anabeba ujauzito wako ( hii sawa iko kwenye bible)
● Ujauzito wako unabadili umbo lake (hili si sawa, nimeona wamama wengi tumezaa ila tuna maumbo mazuri tu)
● Anakua mnene (unene ni hiari)
● Anateseka chumba cha uzazi kwa maumivu makali kwa ajili ya mtoto wako (ni laana ya torati tutazaa kwa uchungu)
● Na mtoto akizaliwa anasubiri umpe jina unalolipenda (hii ni hiari siyo lazima wewe mume ndo utoe jina)
Mpaka kifo chake atakufanyia kila kitu, kukupikia, Kusafisha nyumba yako, Kuwatunza wazazi wako, Kulea watoto, Kubana matumizi, Kukushauri, Kuhakikisha unapumzika, Kujenga mahusiano mazuri ya familia na wakati mwingine kusakamwa sana na familia yako kwa mambo ambayo umetenda wewe, Wakati mwingine anaweza hatarisha afya yake, Uhai wake kwa ajili yako (siku hizi mnawawekea mabeki tatu 2-4 siyo lazima afanye yeye vyote)
Anakufumania analia kisha anakusamehe (huu ni upumbavu uliokithiri wala siyo kitu cha kumsifia mwanamke mwenzangu.
Mwanaume Muheshimu Mwanamke Katika Maisha yako, Sababu kuwa Mwanamke si jambo rahisi (hata kuwa mwanaume si jambo rahisi, Kila mtu anahitaji heshima)
Mfanye Mwanamke kuwa kiumbe mwenye furaha pindi unapokua nae maana Muda wa furaha kwake ni Mdogo sana (you are responsible for your happiness hata mama yako aliyekuzaa hawezi kukufurahisha)
Heshima kwa Wanawake wote Duniani.
.......
Nimeikopi mahali tu jamani!
# MWANAMKE
● Anabadili Jina lake
● Anahama nyumbani kwao
● Anaacha familia yake
● Anaondoka na wewe
● Anajenga nyumba na wewe
● Anabeba ujauzito wako
● Ujauzito wako unabadili umbo lake
● Anakua mnene
● Anateseka chumba cha uzazi kwa maumivu makali kwa ajili ya mtoto wako.
● Na mtoto akizaliwa anasubiri umpe jina unalolipenda.
Mpaka kifo chake atakufanyia kila kitu, kukupikia, Kusafisha nyumba yako, Kuwatunza wazazi wako, Kulea watoto, Kubana matumizi, Kukushauri, Kuhakikisha unapumzika, Kujenga mahusiano mazuri ya familia na wakati mwingine kusakamwa sana na familia yako kwa mambo ambayo umetenda wewe, Wakati mwingine anaweza hatarisha afya yake, Uhai wake kwa ajili yako.
Anakufumania analia kisha anakusamehe.
Mwanaume Muheshimu Mwanamke Katika Maisha yako, Sababu kuwa Mwanamke si jambo rahisi.
Mfanye Mwanamke kuwa kiumbe mwenye furaha pindi unapokua nae maana Muda wa furaha kwake ni Mdogo sana.
Heshima kwa Wanawake wote Duniani.
.......
Nimeikopi mahali tu jamani!
pouwa........Jipange

Hakuna kama mwanamke
muishi kwa amani wanawakeduh kazi ipo