Mjue Mungu wa Freemasonry

Mbona sijaeka avatar braza au we kuna avatar unaiona kiroho kwangu( jokes tu)
 
Huyo aliendaika utunuo anasema alifunuliwa siku ya bwana. Ntajie siku ya bwana kwa reference za bible.
 
Ko kwamaan hyo wewe hutumii vitu ambavyo shetani amezungumziwa anatumia? Kwa mfano wakisema uhesabu mpaka 1000 666 na 996 utaziruka hhhhh
 

Kwa hiyo mashetani wekundu waliondoa herufi moja kwenye AEONπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jamaa wachawi sana
 
View attachment 1998666
Kwa hiyo mashetani wekundu waliondoa herufi moja kwenye AEON[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa wachawi sana
Hizi timu zote ni watoto wa AEON na wanasifa zote za Freemasonry maan wanajilimbikizia Mali na wao. Na kwa wanachofanya Manchester sahv na fanbase haishuki nd uthibitisho tosha kabisa
 
Freemason nazani ni kundi la watu wanaojutambua
Nini?Tafuta taarifa mkuu.Hawa watu ni waovu wakupindukia and extremely dangerous, na wao wakishirikiana na underground societies zingine kama Jesuits,Skull & Bones,Knights of Templar,Knights of Columbus nk.nk. ndio wanaoitesa dunia.Amka mkuu,usidanganywe na akina Likud,Melo na wengine.
 
 
Nakutafuta ukweli ukweli utaniweka huru
 
Freemasonry sio wabaya Kama tunavyo aminishwa
Ni kweli kabisa siyo wabaya!! ni wazuri mnoo! hakuna wa kuwalaumu! lkn hili suala la uzuri ni kwa wafuasi wao haoa free Mansoni! Ya Mungu mpe Mungu ya kaisari mpe yalyo yake! hkn cha kupoteza hapo!

Cha Msingi ni kuomba kwa Bidii zote uonyeshwe njia iliyo sahihi!! km baada yakuomba mungu wako akakuonyesha hii njia ni sawa ifuate! kwa sababu hata akikuuliza mbona ulifuata njia isiyo sahihi ni kumwambia tu jinsi ulivoomba kujua ukweli na akakupa huu!

Lkn pia wapendwa jueni kuwa Dunia hii ina mambo Mengi sana, mojawapo ndo km haya ya free Mansoni mwanadamu utapona kwa neema tu! wala mstaharuki nyie m-relux! muachieni Mungu ndo dawa yao hawa!

shetani ni shetani tu hana uzuri wowote!
 
😁😁😁 wala sina haraka ya ku coment. Ni kwamba kilichoandikwa hapo juu mbali na kujifunza ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Imagine akili zetu zilivyojazwa imani za kikristu na kiislam afu uje uwaambie hivyo. Watakupuuza tu.
Alichoandika siyo upuuzi bali yuko sahihi! hongera zake tu, na ni kweli ni mungu wao wana mtumikia! na matokeo wanayaona eti jamani tatizo liko wapi? yamkini mlio wake huyo mungu wa freemansoni mtamfuatilia vizuri na atawapa maisha bora!

hata ktk Biblia kumetajwa miungu takribani 80 hivi!! Dagon akiwa mmoja wao!!! na yuleee mungu wa wafilist, Dumuz, Olympio gods, mungu wa farao Ramse nk! jamani yapo hayo mambo kitambo sana!!!

tatizo ni wewe! unae mtamani mungu wa mwenzio na kumjua jua huyo asiye kuhusu!! !baaasi, hana shida na wewe! .... hako ni kamungu kake anatembea nako mfukoni akikambia '''kaniibie vihepe'' na kweli kana mletea! ''nipe pesa'' hako oo kanaleta!!

shida iko wapi sasa? .....wkt mwenzio anapata msaada? tatizo ni wewe unae mtamani mungu wa mwenzio! kama Mungu wa Ibrahimu Isack, na Yakobo anakiri kuwa hao wapo!! weye ni nani mpaka upinge??

jitafakari kwa hili kama kweli umeumbwa kwa mfano wake huyo.....lazima uwe km yeye alivo! hana mashaka na uwepo wa iyo miungu! hata hiyo miungu inamuomba Mungu usiku na mchana! ipate wafuasi na kweli inapewa vilevile!
 
Hayo mambo hayana nafasi kwenye ulimwengu wa sasa. Labda kama hutakuwa hunielewi.
 
Tuambie wewe uliwahesabu wote na unawajua kwa majina na ulete death certificate zao hapa au ye alispecify ni akina nani hao utuoe uthibitisho wamekufa wote tayari?
Kwa hiyo kwa akili yako unaamini kuwa kuna mtu mwenye zaidi ya miaka 2000 aliye hai leo
Tv zote zingekuwa mubashara kurusha habari yake na maisha yake kila siku
Acha ujinga wa kiimani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…