Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,676
- 6,502
Sababu kuu ni u-busy wako au watu kuchanganyikiwa? Kwa maelezo haya manake muendelezo hamna,si ndio? Msiwe hivyo mkuu! Wewe ni Nani mpaka maandishi yako yafanye watu wachanganyikiwe? Malizia story! Wengine tunasoma kama story tu,kutafanyia kazi ni maamuzi ya mtu mwenyewe!!nashindwa kuleta muendelezo sababu nipo busy sana halafu naogopa kuna watu wanaweza kuchanganyikiwa. Kitaani kuna jamaa msabato/mlokole kaokoka mwaka 89 baada ya kumpa ufunuo huu sasa anavuta bangi..
Kutokuijua Bible ni shida sans yaani unamtukana mtoa mada pamoja na maelezo yaliyoshiba kiasi hiki?? Ama kweli watu wa Mungu wanaagamia Kwa kukosa maarifa
Sababu kuu ni u-busy wako au watu kuchanganyikiwa? Kwa maelezo haya manake muendelezo hamna,si ndio? Msiwe hivyo mkuu! Wewe ni Nani mpaka maandishi yako yafanye watu wachanganyikiwe? Malizia story! Wengine tunasoma kama story tu,kutafanyia kazi ni maamuzi ya mtu mwenyewe!!
LIKUD[/USERYY
[/QUOTE]
Hahahaha
nashindwa kuleta muendelezo sababu nipo busy sana halafu naogopa kuna watu wanaweza kuchanganyikiwa. Kitaani kuna jamaa msabato/mlokole kaokoka mwaka 89 baada ya kumpa ufunuo huu sasa anavuta bangi..
Kwani dhumuni lako Ni tumjue Mungu wa freemasons au tumwamini?nashindwa kuleta muendelezo sababu nipo busy sana halafu naogopa kuna watu wanaweza kuchanganyikiwa. Kitaani kuna jamaa msabato/mlokole kaokoka mwaka 89 baada ya kumpa ufunuo huu sasa anavuta bangi..
Kwa hiyo huyo "God the most high" ni SHEMALE??Nope ana part zote mbili ya mwanamke na mwanaume. Ya mwanamke inajulikana Kama Sophia na ya mwanaume ni Aeon.
yan kwa maelezo yake ya upuuzi ivi eti ndo ana sema tunaweza kuchanganyikiwaa! 😅😂😂 kwel dunia ipo kasi sanaKwa hiyo huyo "God the most high" ni SHEMALE??
[emoji1756][emoji1756]Kwani dhumuni lako Ni tumjue Mungu wa freemasons au tumwamini?
Yeye kwani amesema anachohubiri Ni FACTS au Ni according to Imani Za freemasons?...kama wao wanaamini nguruwe Ni Mungu inatuchanganyaje Sisi?yan kwa maelezo yake ya upuuzi ivi eti ndo ana sema tunaweza kuchanganyikiwaa! 😅😂😂 kwel dunia ipo kasi sana
Kwa coment zake huko juu anadai kwamba akiendelea huko mbele ety wasomaji wanaweza kudata😅Yeye kwani amesema anachohubiri Ni FACTS au Ni according to Imani Za freemasons?...kama wao wanaamini nguruwe Ni Mungu inatuchanganyaje Sisi?
Kwa coment zake huko juu anadai kwamba akiendelea huko mbele ety wasomaji wanaweza kudata[emoji28]
mod wanazingua sana nimeshatupia nyuzi mbili wamefuta zote sijui inakuwajekuwaje
Labda kuna mambo hawataki tuyajue wengi.
Aisee naomba unitumie hizo nyuzi inbox kabisa nizisome vyema, sehemu ya 2,3 nkntajaribu na kupost uzi wakiuzuia basi
Fanya hivyo mkuu wasomaji tupontajaribu na kupost uzi wakiuzuia basi