Mjue Mungu wa Freemasonry

Huo ujinga wewe umeusoma wapi?

Ahhaa sawa nimeshakuelewa, mmeona muvi zenu hazina impact yoyote sasa mnakuja kwa staili nyingine ya kueleza kitu kwa kujitoa na kujitenga kama mtu hahusiki vile
 
Freemason wanamwabudu Lucifer aka Satan, Sasa Ibilisi ndio katunga hiyo story ya kuziunganisha dini zote, kamtaja Kristo wa waprotestant, kamtaja Sophia aka Maria wa wakatoliki, kamtaja Huyo jamaa anayesema hakuzaa Wala kuzaliwa aka Allah ili kuwavuta muhamaddans, ili wote wamkubali Lucifer Kama most high God, no no no Shetani ni baba wa uongo, kweli ni Yesu tu
 
Nini interest ya Ialdabaoth kuumba kiumbe kwa mfano wake na nini interest ya sofia kumuumba Ialdabaoth?hapa naona kama kuna hidden things again likud panahitaji mnyumbulisho zaidi
 
Ukimtazama Allah wa waislam kwa jicho la biblia unamuona Allah wa waislam ni shetani yaani ni mpinga kristo, maana Qur'an inasema Yesu hajasurubiwa na wala Mungu hana mtoto, sasa kwa mujibu wa biblia haya ni mafundisho ya mpinga kristo au ya kishetani.
 
ur still a learner
 
kwakweli nimeingi za kitu akilini .ila kwanini tunapata maumivu endapo roho ikijiattach kutoka kwenye mwili .
 
Na wao waislam wanaona hivyo hivyo unavyoona wewe kwa upande wa wakristo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ujinga wewe umeusoma wapi?

Ahhaa sawa nimeshakuelewa, mmeona muvi zenu hazina impact yoyote sasa mnakuja kwa staili nyingine ya kueleza kitu kwa kujitoa na kujitenga kama mtu hahusiki vile
Ujinga ni relative term! Mfano freemason hapa angeandika

"Huu ujinga umerithi kwa nani? Ahha unaishi kitumwa nimekuelewa sasa unaabudu mtu kutoka mashariki ya kati".

Hivyo basi njia nzuri ya kuwasilisha hoja ni kwa kutumia hoja ukiwa öpen minded.
 

Naona Shetani yuko kazini, umejaribu kushawishi sana kuwa freemasony ni wazuri,nakukumbusha tu kamwe uwezi ubadili ukweli unachoweza ni kuuficha tu, by the way umesema kuwa binadamu wengi hawaelewi wametoka wapi na ni wapi wanakoelekea this is your point of weakness ukijitambulisha kuwa ujielewi that is y ukamezeshwa vya uongo.

Natamani utumike vizuri kwa Yesu kwani you have mobilizing power uenda ungetumika ungeokoa wengi, Roho yangu inaumia sana kuona unatumika kupotosha,May God Change you in the Name of Jesus
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…