Mjue kwa undani nabii TB Joshua

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216

Nabii TB Joshua.
Kutoka kwenye Moja ya account za mitandao ya kijamii zinazoendeshwa na huduma ya T.B Joshua zimewekwa Picha zinazomuonesha nabii Temitope Balogun Joshua au maarufu kama T.B. Joshua ambaye alizaliwa June 12, 1963 nchini Nigeria na amekua kiongozi wa kanisa kubwa nchini Nigeria lijulikanalo kama The Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) ambapo kanisa hilo pia linaendesha kituo cha televisheni chan Emmannuel TV.
Mtumishi huyu wa MUNGU amehusika katika miujiza mingi na maelfu ya watu wamefunguliwa na kupokea uponyaji kutokana na huduma ya Nabii TB Joshua.

Moja ya Shule alikosomea TB Joshua.
Nabii T.B Joshua ametokea kujitwalia umaarufu sana katika nchi nyingi za Afrika na barani Ulaya na Asia kwa kutabiri mambo mbalimbali ambayo baadae yalikua yakitokea kweli na kuripotiwa na vyombo mbalimbali vikubwa na vinavyoheshimika Duniani.

Nyumbani kwako Tb Joshua, mahali alipozaliwa na kukulia.
Nabii T.B.Joshua amewahi kutunukiwa Nishani kama Officer of the Order of the Federal Republic (OFR) kutoka kwa serikali ya Nigeria mwaka 2008 na pia aliwahi kuchaguliwa kua mtu wa Karne toka kabila la Yoruba nchini Nigeria ambapo alipewa wadhifa huo toka taasisi ijulikanayo kama Pan-Yoruba media outlet Irohin-Odua

Nabii T.B Joshua alipokua na umri wa miaka 25
Nabii T.B. Joshua pia amewahi kutambulika kama moja ya watu 50 toka Afrika wenye nguvu ya Ushawishi kwa jamii wadhifa aliopewa na taasis ya Pan-African magazines na pia kumtaja kama moja ya watu maarufu sana Duniani

Nabii T.B Joshua alipokua na umri wa miaka 20
Amejulikana sana duniani kupitia mitandao ya kijamiii ambapo T.B. Joshua anatajwa kua na mashabiki wapatao Milion 1,na laki 5 kupitia akaunt ya Facebook na mamia ya video zake zilizopo kwenye mtandao wa Youtube baadhi ziliwahi kuleta utata sana duniani kutokana na utata wa mambo aliyowahi kutabiri na hatimaye kusababisha mamilion ya watu duniani kuzitafuta hizo video ili wazitazame kwenye mtandao.

Nabii T.B Joshua alipokua na umri wa miaka 17
Jarida maarufu la FORBES mwaka 2011 lilimtaja nabii T.B. Joshua kua anashikilia nafasi ya tatu katika wachungaji matajiri zaidi nchini Nigeria akiwa na utajiri unakadiriwa kufikia Dola za kimarekani Milion 10 mpaka 15 (US$ 10-15 million )

Moja ya mikutano ya injili ya TB Joshua huko Mexico
 
Mtumishi wa mungu hauwezi ukamiliki ukwasi namna hiyo, auze mali zake awagaie wasiojieeza au atumie utajiri wake wote ajenge apartment kwa homeless kama alivyofanya Manny parciao.

Ni vigumu Tajiri kuingia ufalme wa mungu.
Baada ya Pac kujengea nyumba maskini yeye kawa maskini?

Akijengea nyumba homeless homeless wataisha mitaani?

Kuwa mtu wa Mungu hakumaanishi uwe maskini kwanza Mungu hapendi umasikini, shida na dhiki. Sio kila tajiri ni mbaya na sio kila maskini ni mtu wa Mungu. Usijinyime kama mlokole na uzima utaishia kuwa mdhambi zaidi

Nevertheless, simuamini huyu bwana TB wala nini
 
WAle mnaomfahamu sana kuliko mwandishi, leteni vielelezo sahihi badala ya ubishi tu kama ule wa "Unabisha nini wakait Mange ametuambia". ambao ni plain upumbavue.

Wale mnaosema ni msanii, mtakuwa mnaijua sanaa vizuri. Kwa umaskini wenu wote huo, kila siku mnalalamika kukosekana kwa ajira, maisha magumu, huduma kwa destitutes hakuna, watoto na ninyi wengine hamna fedha za kwenda shule, hakuna kuingiza picha mara kupiga sanaa za kigeni, kwa nini msifanye sanaa kama ya TB Joshua ambayo inalipa sana? Bila shaka mnaweza Kwa nini msifanye sanaa ile ili mjipatie nayi fedha na wafuasi wengi namna ile? . FAnyeni sasa mjipatie mafwedha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa sanaa hiyo, anzishenii sanaa ya uponyaji ili muwe mnawapanga watu wenye kansa na matatizo ya kiroho muonyeshe wanafunguliwa na watu mailllion kwa mamilioni wawe wanaambizana kufake kwa sababu wanapenda kuhubiri sanaa zenu. Tena na sasa TB anahamia Israel, fanyni hiyo sanaa ili watu wawe wanasafiri kutoka duniani kote kuja kwenu kuwaungisha hayo maonyesho.

Wewe unayesema alitabiri unabii wa Clinton haukutumia, unajua Trump alpata kura ngapi za jumla juu ya Clinton? Anzisha na wewe unabii wako wenye tafsiri za ki philosophia za kibinsamau kama hadith ili uongee lugha ya binadamu moja kwa moja. Lakini huyu msanii wenu, anafutata kiongozi wake aliyempfa usannii ambaye pia hakueleweka na binadamu aliposema "ATALIVUNJA HEKALU ILILOJENGWA KWA MUDA MREFU SANA HAPO AWALI, HALAFU YEYE LIJENGE KWA MUDAWA SIKU TATU". Ikiwe yeye na bwana wake hawakuleweka na binadamu watumiao akili za kibinadamu, bila shaka wewe utaeleweka zaidi.

Muda mnaotumia kunena haya, bila shaka ungelikuwa na faida kwenu kama mngeutumia kuratibu hii sanaa yenu ambayo nmewaambia hapa. Vinginevyo ninaona rangi ya wivu na upumbavue.
 
WAle mnaomfahamu sana kuliko mwandishi, bila shaka mnaweza kuja na vielelezo mnavyovifahamu badala ya kuishi akupiba tu kama yale vajitu yasenayo "Unabisha nini wakait Mange ametuambia". ambao ni plain upumbavue.

Wale mnaosema ni msanii, bila shaka mnaijua sanaa vizuri na kwamba sanaa kama ya TB Joshua inaliipa kuliko ozte duniani. Na umaskini wenu wote huo, kila siku mnalalamika kukosekana kwa ajira, maisha magumu, huduma kwa destitutes hakuna, watoto na ninyi wengine hamna fedha za kwenda shule, hakuna kuingiza picha mara kupiga sanaa za kigeni, kwa nini msifanye sanaa kama ya TB Joshua ili mjipatie naying fedha na wafuasi wengi namna ile? Bila shaka mnaweza. FAnyeni sasa mjipatie mafwedha.

Kwa sanaa hiyo, anzishenii sanaa ya uponyaji ili muwe mnawapanga watu wenye kansa na matatizo ya kiroho muonyeshe wanafunguliwa na watu mailllion kwa mamilioni wawe wanaambizana kufake kwa sababu wanapenda kuhubiri sanaa zenu. Tena na sasa TB anahamia Israel, fanyni hiyo sanaa ili watu wawe wanasafiri kutoka duniani kote kuja kwenu kuwaungisha hayo maonyesho.

Wewe unayesema alitabiri unabii wa Clinton haukutumia, unajua Trump alpata kura ngapi za jumla juu ya Clinton? Anzisha na wewe unabii wako wenye tafsiri za ki philosophia za kibinsamau kama hadith ili uongee lugha ya binadamu moja kwa moja. Lakini huyu msanii wenu, anafutata kiongozi wake aliyempfa usannii ambaye pia hakueleweka na binadamu aliposema "ATALIVUNJA HEKALU ILILOJENGWA KWA MUDA MREFU SANA HAPO AWALI, HALAFU YEYE LIJENGE KWA MUDAWA SIKU TATU". Ikiwe yeye na bwana wake hawakuleweka na binadamu watumiao akili za kibinadamu, bila shaka wewe utaeleweka zaidi.

Muda mnaotumia kunena haya, bila shaka ungelikuwa na faida kwenu kama mngeutumia kuratibu hii sanaa yenu ambayo nmewaambia hapa. Vinginevyo ninaona rangi ya wivu na upumbavue.
umesomeka
 
Baada ya Pac kujengea nyumba maskini yeye kawa maskini?

Akijengea nyumba homeless homeless wataisha mitaani?

Kuwa mtu wa Mungu hakumaanishi uwe maskini kwanza Mungu hapendi umasikini, shida na dhiki. Sio kila tajiri ni mbaya na sio kila maskini ni mtu wa Mungu. Usijinyime kama mlokole na uzima utaishia kuwa mdhambi zaidi

Nevertheless, simuamini huyu bwana TB wala nini
Kumbuka pia makini haaminiki na huwezijua tabia yake, umaskini waweza kusababisha dhambi ya chuki kwa wenye nacho na kumlalamikia Mungu kuwa anaubaguzi..mtu asipende umaskini kabsaa.
 
Mtumishi wa mungu hauwezi ukamiliki ukwasi namna hiyo, auze mali zake awagaie wasiojieeza au atumie utajiri wake wote ajenge apartment kwa homeless kama alivyofanya Manny parciao.

Ni vigumu Tajiri kuingia ufalme wa mungu.
Wewe unaweza kufanya hivyo?
 
Nabii TB Joshua.
Kutoka kwenye Moja ya account za mitandao ya kijamii zinazoendeshwa na huduma ya T.B Joshua zimewekwa Picha zinazomuonesha nabii Temitope Balogun Joshua au maarufu kama T.B. Joshua ambaye alizaliwa June 12, 1963 nchini Nigeria na amekua kiongozi wa kanisa kubwa nchini Nigeria lijulikanalo kama The Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) ambapo kanisa hilo pia linaendesha kituo cha televisheni chan Emmannuel TV.
Mtumishi huyu wa MUNGU amehusika katika miujiza mingi na maelfu ya watu wamefunguliwa na kupokea uponyaji kutokana na huduma ya Nabii TB Joshua.

Moja ya Shule alikosomea TB Joshua.
Nabii T.B Joshua ametokea kujitwalia umaarufu sana katika nchi nyingi za Afrika na barani Ulaya na Asia kwa kutabiri mambo mbalimbali ambayo baadae yalikua yakitokea kweli na kuripotiwa na vyombo mbalimbali vikubwa na vinavyoheshimika Duniani.

Nyumbani kwako Tb Joshua, mahali alipozaliwa na kukulia.
Nabii T.B.Joshua amewahi kutunukiwa Nishani kama Officer of the Order of the Federal Republic (OFR) kutoka kwa serikali ya Nigeria mwaka 2008 na pia aliwahi kuchaguliwa kua mtu wa Karne toka kabila la Yoruba nchini Nigeria ambapo alipewa wadhifa huo toka taasisi ijulikanayo kama Pan-Yoruba media outlet Irohin-Odua

Nabii T.B Joshua alipokua na umri wa miaka 25
Nabii T.B. Joshua pia amewahi kutambulika kama moja ya watu 50 toka Afrika wenye nguvu ya Ushawishi kwa jamii wadhifa aliopewa na taasis ya Pan-African magazines na pia kumtaja kama moja ya watu maarufu sana Duniani

Nabii T.B Joshua alipokua na umri wa miaka 20
Amejulikana sana duniani kupitia mitandao ya kijamiii ambapo T.B. Joshua anatajwa kua na mashabiki wapatao Milion 1,na laki 5 kupitia akaunt ya Facebook na mamia ya video zake zilizopo kwenye mtandao wa Youtube baadhi ziliwahi kuleta utata sana duniani kutokana na utata wa mambo aliyowahi kutabiri na hatimaye kusababisha mamilion ya watu duniani kuzitafuta hizo video ili wazitazame kwenye mtandao.

Nabii T.B Joshua alipokua na umri wa miaka 17
Jarida maarufu la FORBES mwaka 2011 lilimtaja nabii T.B. Joshua kua anashikilia nafasi ya tatu katika wachungaji matajiri zaidi nchini Nigeria akiwa na utajiri unakadiriwa kufikia Dola za kimarekani Milion 10 mpaka 15 (US$ 10-15 million )

Moja ya mikutano ya injili ya TB Joshua huko Mexico
Hahahahaha uongoooo alipokuwa na miaka 20 facebook ilikuwa bado haijawa hahaahah uyoooo
 
Opportunist huyo
 
Aliwatabiria ushindi katika chaguzi Clinton na Lowassa ikawa tofauti. Bila aibu akaja ktk sherehe za kuapishwa kwa mh.
 
Back
Top Bottom