Mjue Engineer wa Kitanzania aliyeipandisha chati Google! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjue Engineer wa Kitanzania aliyeipandisha chati Google!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by X-PASTER, Jul 15, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Revving Google's Search Engine

  [​IMG][​IMG]  EVERY TIME you initiate a search on Google, chances are Ben Gomes has had something to do with the replies you get.

  [Ben Gomes is a Distinguished Engineer at Google where he is a lead for the company's engineering efforts on search features. Ben has been with Google for more than ten years and has worked in the development of nearly all aspects of the Google search service ranging from crawling and indexing to ranking and new feature design. Prior to Google, Ben earned his PhD in computer science from UC Berkeley. He was born in Dar-es-salaam, Tanzania. source: sites.google]

  Carrying the job title of distinguished engineer, and a lead on its search projects, Gomes was born in Tanzania, graduated in computer science from the University of California, Berkeley, and joined Google 11½ years ago. At the time the company was “just search” and he has worked on most of the developments that have taken place in the area since then.

  With Google today known as one of the dominant companies in the internet space – and increasingly moving into other areas, with its Android mobile platform and its Chrome browser and operating system – it’s easy to forget that it was once just a start-up with a new take on how to search the fast-growing web. Click HERE to Read More

   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  amekaa kama shombe shombe.
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukisoma jina la Gomes ujue ni Mgoa(wahindi wakristo).
   
 4. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This guy and other unsung Tanzanians scattered all over in the United States must serve as a good example for others to follow when they get an opportunity to land in the US.

  I get annoyed everytime I read here this forum that Tanzanians back home keep scolding others esp. those in the US that they should return to Tanzania, instead of urging their fellow Tanzanians on how to acclimatize themselves and take advantage of the America's opportunities. I know hundreds if not thousands of other Tanzanians living in the US who are highly educated and have successful careers in different areas of expertise other than kubeba boxes!!

  US is still and will always be the land of opportunities than any other country on earth as long as you are smart and you've got "brains" and know how utilize it.
   
 5. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Jina kama asili ya mgoa. Wabongo bana, watu wasio wabantu tunawabagua/wanatubagua nchini.....wahindi wanaambiwa warudi kwao, kina Rostam warudi sijui Iran, Richa Adhia yule miss Tanzania alipondwa.....ila huyu kafanikiwa Google, basi ni Mtanzania. Kaaaaazi kweli kweli!
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kwahiyo wahindi siku hizi ni watanzania! Lol.Halafu huyo hapo chini jirani yako sijui muhindi mwenzie. Hebu kwanza nitafsirie alichoandika maana kidhungu not richabo.
   
 7. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,536
  Trophy Points: 280
  Hilo jina lina asili ya Ureno....ni kweli kwavile anaonekana kama mhindi, anaweza kua ni mgoa..ila nimependa niweke mambo sawa. Kwa sababu hao wagoa wenyewe wamepata majina hayo baada ya wareno kupita kwao.
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  With his undeniably great influence at Google, the question remains - what has he done so far kuupenyeza penyeza huo Utanzania through google as a dominant search platform. Kama bado, anapanga kufanya nini na huo Utanzania (kama kuna wowote ule uliobakia) akiwa hapo google. My guesses are odd and obscure just like his surname; that huchelewi kuta kesha usahau hata huo Utanzania wa kuzaliwa, and you wishwishers are adamant about his Utanzania while ogling at his success kumbe jamaa walaaa!!

  Just a little research: How many times have you come across google main page being animated to earmark an occasion or simply celebrate someone's birthday? But to this day, with my observant eye, I can confirm to you many times but none has been to do with Tanzania au Kiongozi wa Tanzania for that matter. I know kwamba picha au cartoons zinazowekwa zinapendekezwa na watu, lakini kwa influence aliyo nayo yeye na kama angelikuwa kweli mwenye kupenda Utanzania; kipi kinachomzuia kufanya hivyo au ku-instigate hilo?? Bila shaka jibu hapa ni hakuna, bali ameshasahau hata hii Tanzania, well my wacky guess!!
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  Nasikia kuna google kwa ajili ya Watanzania

  Gonga hiyo link: Google
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kwa nini aufikirie Utanzania wake wakati Watanzania wameshembagua sana na kumtaka 'arudi kwao' !
   
 11. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mmhh...chukulia mtu aliyeanza kazi ya kubeba maboksi Walmart na baada ya miaka 30 of blood, sweat, and tears (pamoja na top-notch grades and accolades from "Walmart University" and whatnot) tuseme kabahatika kuwa Store Manager kwenye Walmart Superstore fulani somewhere, jee ana chance gani ya ku-influence overall corporate policies za Walmart kuhusu msimamo wa Walmart Corp kuhusu Tanzania?
   
 12. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  wewe huyo muhindi kabisa unasema mtanzania? ah mi sikubaliani na wewe
   
 13. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  What about Prof. Issa shivji, Aamir Jamal, mzee Sabodo, Kassim Dewji, Manji, Shamim Khan, Dereck Bryson, Salim Ahmed Salim, Hussein Bashe, Rostam, Kinana, Rage, Prof. Mascarenas, SS Bakhressa, Zungu etc. je hawa nao ni watanzania ama sio watanzania? Acheni ubaguzi
   
 14. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  inawezekana akawa amezaliwa tanzania lakini asili yake sio tanzania
   
 15. nzumbe

  nzumbe Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo hafanani na sisi watanzania!..
   
 16. S

  Sumu JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,227
  Likes Received: 3,207
  Trophy Points: 280
  Ni sawa na kitendo cha kushangilia kitendo cha ngasa kucheza against man united, tumwache asimame mbele za watu ajitambulishe yeye mwenyewe kuwa ni mtanzania badala ya sisi kushabikia.
   
 17. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Mkuu, nadhani siyo fair kumbagua mtu kwa sababu ya rangi ya ngozi yake, urefu wa pua yake, asili ya wazazi wake, au kitu kimgine chochote. Nadhani hii tabia ya kuangalia watu wa rangi au asili fulani kwa kudhani kwamba wote wa aina hiyo ni mafisadi haifai. Mbona tuna wahindi wengi tunaishi nao vizuri tu na wala siyo mafisadi? Anaweza kuwa ni raia tu mzuri wa nchi hii, na hajaifanyia ubaya wowote nchi hii, lakini wewe unambagua kwa kumtazama usoni tu! That's not fair.
   
 18. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hata rostam ni mtanzania
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tusiminyaje bure Huyo ni mtanzania mwenye asili ya asia kwani sifa ya mtanzania lazima uwe mweusi?
   
 20. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mtanzania kuwa pale siyo issue, swala ni anajivunia huo Utanzania? Na katika akili yake, huwa anakumbuka kuwa yeye ni Mtanzania? Labda mleta uzi angesema ni mambo mangapi kaifanyia Tz hapo google wakati mwenyewe hakumbuki kabisa kama aliwahi zaliwa Tanzania, zaidi ya kujiona Mtanzania.
   
Loading...