Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

fine and performing arts pale mlimani ndio BA yake ana Hors ya usanii eroo

Mkuu hyo degree yake inaitwa Bachelor of arts with Education,arts haimaanish maigzo peke yake au ngoma,Bachelor of arts with education kwa maana nyngne inaitwa degree ya sayansi jamii na elimu
 
Siwezi kukulaum maana Mlimani kama umesoma basi ni miaka hii ya Jakaya Kikwete, Enzi za Mwalimu kulikuwa na degree ya BA in Theatre Arts. Mojawapo ya graduate wa degree hizo walikuwemo akina Prof Penina Muhando sijui siku hizi anaitwa nani. Husipende kubishania vitu husivyovijua bwana mdogo
Mkuu mliman hakunaga degree inayoitwa Bachelor of fine art na Bachelor of art education kuna bachelor of fine and performing arts na Bachelor of arts with Education ambayo lowasa kasoma,Arts inamaana kubwa ata economics nayo ni arts,political science nayo ni arts hzo corse zote zpo kwenye faculty moja ya social science sku hz wanaita CASS.
 
Siwezi kukulaum maana Mlimani kama umesoma basi ni miaka hii ya Jakaya Kikwete, Enzi za Mwalimu kulikuwa na degree ya BA in Theatre Arts. Mojawapo ya graduate wa degree hizo walikuwemo akina Prof Penina Muhando sijui siku hizi anaitwa nani. Husipende kubishania vitu husivyovijua bwana mdogo
Mkuu hyo degree yake inaitwa Bachelor of arts with Education,arts haimaanish maigzo peke yake au ngoma,Bachelor of arts with education kwa maana nyngne inaitwa degree ya sayansi jamii na elimu
 
Mbona ile shahada ya Mapambo na mazingaombwe haionekani.Shahada ya Kwanza ilikua Education Kweli?Huu ni ufisadi wa kitaaluma nao

Yes, BA education (physical education ama siku hizi wanaita fine and performance art) ila in principle me education, hata waliosoma Geography and history so long it's education the degree is referred as such!
 
Mwigulu tuu atosha
Edward Lowassa hafahi kuongoza JMT ametawaliwa na Rushwa na Ufisadi kwa kifupi si muadilifu atafilisi rasirimali za taifa letu kwa kutuingiza kwenye mikataba mibovu yenye manufaa kwake,familia yake na marafiki zake tumeshuhudia Mkataba mbovu wa Richmond,tumeshuhudia pia akiwa mlezi wa UVCCM enzi hizo Dr Emmanuel Nchimbi akiwa M/Kiti UVCCM taifa waliandaa mkataba mbovu wakishirikiana na mwekezaji uliokuwa na harufu ya rushwa kwa jengo kubwa lililojengwa pale makao makuu ya UVCCM taifa ulikuwa mkataba wa milele usiokuwa na ukomo kwa mwekezaji , ndipo Nape Nnauye akaweka wazi uchafu huo na hapo m/kiti wa chama CCM kitaifa kwa kushirikiana na sekretariati yake kushtukia ufisadi huo na kuushughulikia na sasa mkataba huko vizuri unanufaisha pande zote mbili muwekezaji na muwekwezaji hiyo ni mifano michache ya ufisadi uliofanywa na Edward Lowassa akiwa kwenye nafasi za utawala inayomfanya Edward Lowassa hasifae kuwa raisi wa JMT kwa 2015 na miaka mingine yote ijayo.HANA SIFA YA UADILIFU maamuzi yake yote huwa yametawaliwa na rushwa na ufisadi.
 
kiongozi bora hachaguliwi kwa cv zake kiongozi bora ni yule anay]ewajibika kwa wananchi wake, anajali watu wake huyo ndo kiongozi na si mwizi wa mali wa umma
 
Umesahau Ya Richmond ?
WaTanzania wanasahau kwamba ufisadi ni sawasawa na kula nyama ya mtu, ukishaufanya huachi hata kama utapewa cheo na madaraka gani.

Kama alipokuwa Waziri Mkuu alitengeneza mradi huu wa capacity charge ya TShs milioni 152 kwa siku akiwa Rais je?
 
T2015 edo
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1415265661.438801.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1415265661.438801.jpg
    32.2 KB · Views: 422
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD]2/8/2008[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
akastaafu uwaziri mkuu kwa hiari yake bila kosa lolote.
 
Mwigulu tuu atosha

Hafai kwani ana uhusiano na mafisadi na wakwepa kodi. Pia ana chuki, wivu na ni dikteta. Uchaguzi wa serikali za mitaa kule wilayani kwake alitoa amri kwa watendaji kuhakikisha kuwa ccm inachukua viti vyote kwa njia halali au haramu. Na malalamiko ya wapinzani yakapuuzwa. Kwa tabia take ya kukandamiza demokrasia atasababisha machafuko.
 
Back
Top Bottom