Mjue Barbro Karlen aliyeishi mara mbili duniani

Mjue Barbro Karlen aliyeishi mara mbili duniani

Mi mwenyewe nimezaliwa mara ya pili. Ntakuja na story yangu mpk leo ninekosa jibu
 
Kuna dogo india mwakajuz kama sikosei alizaliwa kijij cha jiran aliikumbuka mpaka shule aliosoma marafik zake wazaz wake wa mwanzo mpaka madaftar yake mtiti ukaje wazaz wake wa mwanzo wanamtaka na yeye anawataka ikabid kuwe na mutual understanding ya kumlea huyo dogo na kama na wahind wanavyoamin miungu nadhan dogo anaabudiwa saiv so hayo mambo yapo ila mmi naona hayo ma ghost tu yako yamekuja kumalizia their unfinished business
 
Hata mimi nnahisia zinanjia kuwa niliwahi kuishi, yaani mie ndio yule Carl Peters kabisa aisee!

IHOLOMELA ,

Mkuu.

Haaaa haaaa haaaa haaaa haaaa haa.

Angalia, UK watakukamata maana, wanaweza wakahisi kuwa umekuja kuanzisha vita ya 3 ya dunia ili ujerumani ishinde na kuchukua makoloni yake yote huko Africa na maeneo mengine.


Any way, hizi story ni za sixth sense.
 
Mbona mpangilio wa simulizi umekaaa hovyo...

BTW niliwahi sikia redion Coconut fm zanzibar juu ya kisa fulani cha Msichana aliyekufa akazaliwa kijiji cha pili, Yy alizaliwa anajua kusoma kabisa na kumbukumbu zote za maisha ya nyuma haddi kwao alikua anapakumbuka
Ni india huko si ndiyo mkuu?
 
Back
Top Bottom