Mjomba wangu sitakusahau

Huu uzi nimekuwa nikiuona tangu muda sana nikawa nauruka. Ila nilipoona unazidi kutembea nikaona wacha niuone kuna nini. Aisee nimecheka sana hii story ya huyu mtanesco.
 
Hivi katika kusoma maelezo yake huoni anaonyesha ni mtu mwenye matatizo makubwa na huyo mjombo wake pengine alifanya juhudi kubwa lakini akawa hasaidiki?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi aliishia wapi kisandu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi ile kesi yake ya uhujumu uchumi ndio imempoteza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila jamaa nilikua namuelewa sana, hakuna thread yake yoyote iliyonipita, mpk sasa hua nazifanyia revision ili kunoa bongo yangu.
 
Nilichogundua hapo ni kwamba huyu mjomba wako alikuwa na akili na busara ila wewe akili yako ilikuwa na dosari.

Matatizo yako hayatokani na mjomba wako bali kutokuwa na elimu .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitihani tu ya maisha. Natumaini kuna ulichojifunza katika changamoto ulizopitia..

Sent using Samsung S6 Edge
 
Mkuu hii comedy yako ni nzuri Sana. Inatufundisha watu wanaopenda kulaumu ndugu wakati hawana hata vigezo vya kubebeka. Hongera Sana Mtanesco!
 
Kazi ya kukata michongoma na kufyeka majani ndiyo taaluma yako hapa Daresalama. Sishangai uTanesco wako uliishia kuchimba mitaro na umefanikwa kwenye kilimo baada ya kurudi huko kwenu kijijini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…