Mjomba wangu sitakusahau

Sema mwanangu, hii ni thread bora ya ukilaza hapa JF...

Inabidi JF wakupe tuzo...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry hivi ni Udakrari huu huu ambao watu wanaosotea chuo for 5 years tena after A level, ndyo ulitaka upate wewe std 7?, acheni masikharaaa na afya za watu, ndyo nyie badala ya kufanya operation ya mguu, mnafanya ya kichwa.

Mungu alikupangia utatoka kwa njia ya kulimo Huko kwa mjomba ulikua unajichelewesha tu. hongera kwa kufanikiwa kwenye kilimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa,tena ni miaka 6 ,5 years chuo 1 year for internship
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa bana yaan nimeona heading na mtiririko wako umeanza vizur sasa mbele mbele nashangaa udakitari mara utanesco, sema nimecheka sana eti we mtanesco si utaweza kuunga nyaya, daah nimeishia kucheka kinoma
🀣🀣🀣
 
Umemaliza darasa la saba, unategemea ukawe daktari, ukawe mhandisi wa umeme?
Unajua kwa nini ulirushwa na umeme?
Ndugu usijibebeshe dhambi za kumlaumu mjomba wako. Huna elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa unamuonea mjomba.
Kwanza wewe ni kituko na kichekesho:

Yani unaomba kuwa Daktari?

Unaomba kuwa mtanesco?
Pamoja na kubeba nguzo huko tanesco ila hamkufundishwa safety?
Yani wewe jamaa ni mburula na kiazi sana.
Labda kama hii thread ni ya kutunga
 
 
 

Daaah nmecheka sana mtanesco πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ..mjambo wako atakua alikuona huna akili vzr ikabid awe anakuitikia tu....na hata huyo rafik yake alikuambia nafasi ilipatikana ili hakufariji.....broo unatakuwa daktar umeisha la saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…