Mkuu,,,wewe huwajui wajomba zangu wa PPF na chinja chinja yao dhidi ya wapinzani wao ndani ya Rwanda na DRC since 1991 up to now!!
Bonge leo anatangazwa rasmi kuwa ni mshindi ..kisha sasa .....Kwa hiyo lile la mchungaji ni lilikuwa la watu wa humu humu kwetu na si wa jirani kama ilivyokuwa ikisemwa na ata baadhi ya nyuzi humu?
Hivi na Mvungi pia ni kama ilikuwa kuendeleza hizi hizi harakati?
Ndio Bonge anamfanyia Tumbi kila liwezekanalo yeye ashike kiti kwa ajili hii?
Halafu mkuu Tresor Mandala umebadilisha username kutoka MTCK?
Wanajuana kwa vilembaKipindi mjomba James yuko Kinshasa as mkuu wa maugomvi ,ndio Muzee K snr akamtimua ,akalianzisha lile la kisangani wakala kichapo sana maana waliwekwa mtu kati na waangola
Sasa km mjomba mkubwa na mjomba James haziwivi vzr ..si hatari kwa mjomba mkubwa
Anko James na Jkk ni ndugu
Ni Basi hiloKusummury ndio kufanya nini?
Kuna siku nilikuambia nina hamu ya kuandika kitu ni khs binamu jkk na mzee k ( babu )Wanajuana kwa vilemba
Kama Abby alivyowakaribisha wajomba kwa style waliyokuja nayo...Watakaribishwa kwa style watakayokuja nayo.
Mwaka 1986 Junevanail aliwaambia wanyarwanda hakuna kurudi...Rwanda kumejaaa......kaeni huko huko Uganda....wakati akihutubia bunge.
Na hii kauli ilimtoa machozi komredi Fred...
Usiwe na shaka.......watarudi tu kwa njia ile ile aliyorudi nayo mjomba wetu mwaka 1992!!!Baada ya kukaa ughaibuni miaka 30
Hawa madogo waliozaliwa ughaibuni hawawezi kukakaa ukimbizini miaka 30 ipo siku watarudi tu...kwa style ile ile ya wazazi wao walipofukuzwa...!!
Mambo ya kutesa kwa zamu...!!!
Mjomba kila mtu intarehamwe hata madogo waliozaliwa 1994 kuja juu...!!
Andika mkuuKuna siku nilikuambia nina hamu ya kuandika kitu ni khs binamu jkk na mzee k ( babu )
HahahahaKama Abby alivyowakaribisha wajomba kwa style waliyokuja nayo...
🤗🤗🤗🤗
Okay okay nimekupata mkuu.Bonge leo anatangazwa rasmi kuwa ni mshindi ..kisha sasa .....
Mkuu ni mabadiliko tu content ni zile zile tuko pamoja
Sio mzuri ktk uandishi ila iko siku nitaandika ht kdgAndika mkuu
Kama Abby alivyowakaribisha wajomba kwa style waliyokuja nayo...
🤗🤗🤗🤗
Nadhani wanajipanga kwa mikakati....Swali kubwa, ni kwanini wanaogopa kurudi?. Kama wanataka kumpindua Kagame wake wampindue nani kawakataza?. Waje tu.
Ngoja atangazwe kisha tuone Bonge atakuja na plan gani lkn km atarudi kwenye drawing table ataona Mpango mkakati autumie huo huoOkay okay nimekupata mkuu.
Bonge aweke ulinzi imara naona hali ya sasa si shwari kabisa na leo ndio tutaona uhalisia wa wenye nia ovu wakoje japo hili haliwezi kuwa kwa leo pekee ila ujumbe utatumwa.
Kila la kheri mkuu tuko pamoja.
NikuandikieSio mzuri ktk uandishi ila iko siku nitaandika ht kdg
Kama kuna mtu ana amini kuwa wale watoto hawatorudi Rwanda huyo anajidanganyaNadhani wanajipanga kwa mikakati....
Iliwachukua miaka mingi kwa akina Fred kujipanga na kurudi Rwanda na RPF yao......!!!
Unadhani wanaogopa ...ila ni masuala ya timing.
Watarudi tu kupigana nao wachukue madaraka.....akili za wanyarwanda nazijua......mpaka leo wanaishi kwa visasi
MKUU UNAONA AKILI ZA WAPWA ZANGU UKIWAMO WEWE. ....KWAMBA KIPINDI CHA ABBY RWANDA HAIKUA KWA WANYARWANDA...ILA KIPINDI CHA KAGAME NDIO RWANDA IMERUDI KWA WANYARWANDA.Ndio hivyo hivyo. Pamoja na misukosuko ila wakafanikiwa kurudisha Rwanda kwa wanyarwanda. Leo Rwanda inaheshimika.
Watusi wa RPF wanaamini hivyoKama kuna mtu ana amini kuwa wale watoto hawatorudi Rwanda huyo anajidanganya
Sawa mtaniNa mjomba ni mama, elewa.
Naota.......nikaona nimsalimie mjomba.....maana wapwa zake tumemkumbuka!!!Ni shairi au unaota