Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Bora umetumia Neno inasemekana. Watu milioni kumi na mbili wamekuwa wapi na lini?. Population ya Rwanda kwa Sasa ni milioni 13. Unamaana aliua nchi nzima. Tutafute credible news tuachane na uongo.
Wadau mm mleta uzi.....naanzia kuhesabu tokea 1991......mpaka sasa ndani ya Rwanda na DRC nyinyi mnaanzia wapi!!!!!!.
 
Huyo Mrwanda wa wapi?. Rwanda ipi sio huru. Kwa hivyo Tanzania Ina uhuru kamili kiasi Cha kuwapa warwanda uhuru?. Uhuru wa Rwanda ulishapatikana na Sasa warwanda ni wamoja.
Mkuu uhuru upi.......wa mjomba kujitawaza mfalme na kuwawinda watu wafupi wasichukue madaraka...
Anyway sishangai......hata Babu yetu.....aliwaambia wabelgiji kua hii nchi ni ya watu warefu.
Mbona unaongea kiuoga jirani?????
Unamuogopa BANGUBANGU???
 
Mjomba James na Mjomba mkubwa huwa hawapingani ..na anko James ni fisadi yule hivi bado mshauri wa mjomba mambo ya ugomvi?
Mjomba james......alikua kinshasa kama mkuu wa majeshi......ila wakata viuno wakamtimua......nadhani 1997...
Mjomba hamtaki now dayz kisa anaogopa atampindua.
Hapo yupo na dogo kabila
 
Mjomba james......alikua kinshasa kama mkuu wa majeshi......ila wakata viuno wakamtimua......nadhani 1997...
Mjomba hamtaki now dayz kisa anaogopa atampindua.
Hapo yupo na dogo kabila
View attachment 2858086
Kipindi mjomba James yuko Kinshasa as mkuu wa maugomvi ,ndio Muzee K snr akamtimua ,akalianzisha lile la kisangani wakala kichapo sana maana waliwekwa mtu kati na waangola

Sasa km mjomba mkubwa na mjomba James haziwivi vzr ..si hatari kwa mjomba mkubwa

Anko James na Jkk ni ndugu
 
Kwa hiyo lile la mchungaji ni lilikuwa la watu wa humu humu kwetu na si wa jirani kama ilivyokuwa ikisemwa na ata baadhi ya nyuzi humu?

Hivi na Mvungi pia ni kama ilikuwa kuendeleza hizi hizi harakati?

Binadamu ,hawa #wazalendo wako funded na BONGE eeh ..naona Bonge anamtafuta sana anko
Ndio Bonge anamfanyia Tumbi kila liwezekanalo yeye ashike kiti kwa ajili hii?

Halafu mkuu Tresor Mandala umebadilisha username kutoka MTCK?
 
Ni shairi au unaota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…