Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,638
- Thread starter
-
- #181
Mm naanzia 1991 pale mjomba alipoanza rasmi kuutaka ukuu wa ukooOk, nimekuelewa. Kumbe unajumlIsha na DRC. Hapo inabidi kupiga mahesabu makali Sana. Maana vita vya DRC vimeanza zamani Sana, hata RPF wamevikuta.
Mkuu uhuru upi.......wa mjomba kujitawaza mfalme na kuwawinda watu wafupi wasichukue madaraka...
Anyway sishangai......hata Babu yetu.....aliwaambia wabelgiji kua hii nchi ni ya watu warefu.
Mbona unaongea kiuoga jirani?????
Unamuogopa BANGUBANGU???
Mm naanzia 1991 pale mjomba alipoanza rasmi kuutaka ukuu wa ukoo
Waache wajidanganye..wao waliwezaje wenzao washindwe ?Watusi wa RPF wanaamini hivyo
Nadhani wanajipanga kwa mikakati....
Iliwachukua miaka mingi kwa akina Fred kujipanga na kurudi Rwanda na RPF yao......!!!
Unadhani wanaogopa ...ila ni masuala ya timing.
Watarudi tu kupigana nao wachukue madaraka.....akili za wanyarwanda nazijua......mpaka leo wanaishi kwa visasi
Aisee itabidi iwe hivyo ngoja nipate kibali kwa familiaNikuandikie
HahahahaOk, nawatakia kila heri kwenye mipango yao. Ila wajitahidi Sana maana huwa hatuaonji sumu kwa kuilamba.
Sawa mkuu kama ulikua unanisaidia kufukia yale mashimo kuficha ushahidi wa maiti frontline...bas upo sahii mpwa wangu.Kama ni 1991 hiyo hesabu yako sio sahihi.
Mkuu nipo kisangani napambanaAisee itabidi iwe hivyo ngoja nipate kibali kwa familia
Watusi wanaamini wao ni boraWaache wajidanganye..wao waliwezaje wenzao washindwe ?
Aisee kuna battle gani tena huko au unachimbua mtu mafichoni ?Mkuu nipo kisangani napambana
MKUU UNAONA AKILI ZA WAPWA ZANGU UKIWAMO WEWE. ....KWAMBA KIPINDI CHA ABBY RWANDA HAIKUA KWA WANYARWANDA...ILA KIPINDI CHA KAGAME NDIO RWANDA IMERUDI KWA WANYARWANDA.
NB: MINDEST ZA WATUSI NA RPF🤣🤣🤣
Wanajiona wayahudi ila iko siku yaoWatusi wanaamini wao ni bora
Tatizo juu ya TatizoMKUU UNAONA AKILI ZA WAPWA ZANGU UKIWAMO WEWE. ....KWAMBA KIPINDI CHA ABBY RWANDA HAIKUA KWA WANYARWANDA...ILA KIPINDI CHA KAGAME NDIO RWANDA IMERUDI KWA WANYARWANDA.
NB: MINDEST ZA WATUSI NA RPF🤣🤣🤣
Waache wajidanganye..wao waliwezaje wenzao washindwe ?
Mkuu hao ni asilimia chache sana na wapo main stream....je underground unawajua???Unakosea Sana unaposema anawinda watu wafupi. Hivi Kayumba nyamwasa, Patrick Kalegeya, Tom Byabagamba, Kizito, Diane Rwigara etc ni wafupi?. Nadhani kwa Sasa tuondoe notion ya urefu na ufupi.
Sio wapwa zangu...Wanapenda vitaMazingira Sasa hivi yamebadilika Sana Sasa hivi. Watu wanajenga nchi, mambo ya msituni hawayataki kwa Sasa. Lakini hao madogo wanayo nafasi ya kujaribu bahati yao. Ila kwa ushauri tu, sumu haionjwi kwa kulambwa, ni ushauri tu. Waje tuijenge Rwanda yetu nzuri.
Mkuu wale watoto watarudi tu ..ni vile hapa kati kdg script haikwenda vzr ungesikia ila kwakua nia ipo ,sababu ipo ..watarudi tu kwao .muwapokeeMazingira Sasa hivi yamebadilika Sana Sasa hivi. Watu wanajenga nchi, mambo ya msituni hawayataki kwa Sasa. Lakini hao madogo wanayo nafasi ya kujaribu bahati yao. Ila kwa ushauri tu, sumu haionjwi kwa kulambwa, ni ushauri tu. Waje tuijenge Rwanda yetu nzuri.
MKUU HATA I991 RPF HAWAKUOGOPA KUIONJA SUMU WALIILAMBA HIVYO HIVYO.....NA WALIJITAHIDI..Ok, nawatakia kila heri kwenye mipango yao. Ila wajitahidi Sana maana huwa hatuaonji sumu kwa kuilamba.